Tetesi: Kuna Dalili za Kukwama Kwa Mradi wa Bomba la Mafuta la Uganda, Hoima-Tanga Baada ya Mabenki Washirika Kujitoa

Huwezi kuwa na standard ya cost estimate ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta.

Ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta unategemea na aina ya matumizi/uhitaji. Je unatengeneza plant ya kuchakata mafuta ili uuze au unatengeneza plant kwajiri ya mafuta utumie ndani ili kupunguza gharama kwa raia wako.

Kwa mfano kwa sisi hapa Tanzania au East Africa tunaweza kuanza na kuchakata mafuta kwaajiri ya kubinya gharama za ndani ili tuweze kuwa na effective prices eneo la nishati badala ya kucheza na bei za hawa mbwa wa magharibi.

Gharama za ujenzi wa plant hiyo hazitaweza kuwa kubwa kutushinda. We worth a mabilioni of dollars plus kuna Urusi na China tunaweza shirikiana nao kuweza kufanya hayo mabadiliko.

Kwann tunakuwa na akili za kinyumbu kuamini kila jambo ni hadi mataifa ya magharibi yatupe Go ahead?

Wao wanaweza pinga mradi sisi tukasema NO tutafanya huu mradi tunashukuru kwa maoni yenu ila tutafanya huu mradi na tutachukua tahadhari juu ya madhara ya mradi eneo la mazingira.


Halafu niwakumbushe tena, umasikini wa sisi watanzania sio matokeo ya kutaka MUNGU au sisi tumekuwa conditioned kuwa masikini. Shida ni CCM na syndicate yake na regime.

Umeona hata magufuri walimchukia sababu alienda against policy yao ya WIZI WA MALI ZA UMA. Ukitaka CCM na nusu ya hili taifa kikuchukie wewe weka sheria na taratibu za kuwabana watu waliopo serikalini na maofisi ya serikali wasiibe hapo utajenga uadui usio na mwisho. Wao wanataka kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake eneo lake.

Tuwatoe CCM, ili tupunguze influence ya watu wanaotetea mifumo ya uharibifu. Tunazidi kuchelewa maendeleo.
 
Hawataki Nchi za Afrika Ziinuke kiuchumi Wala hakuna jipya
Muda ushafika sasa watake wasitake mataifa ya Afrika lazima yainuke kiuchumi na tutakaponyanyuka lazima tuwatafute tuwatombe mbwa hao.
 
Sasa hapo kwenye kuingana ndio shida ,kama Hadi Leo hii tumeshindwa kuungana kwenye sarafu Moja au biashara huria ndio itakuwa hiyo ya Mali?

Pili uhakika wa usalama na kutoaminiana ,Kwa Afrika hicho ninkitu kigumu sana.
Hizo ni changamoto za kifamilia ambazo tunaweza zimudu kama tukiweka sheria kali zenye kufanyiwa utekelezaji.

China sio wajinga kuweka sheria ya kunyonga na kufunga wabadhirifu maana inajulikana kuwa ukicheka na nyani hakuna mazao utavuna.
 
Kwamba Uganda ina mafuta kiasi gani hadi kuyumbisha?
Saudi anatoa zaidi ya pipa milioni 8 kwa siki, uganda pipa 200K kwa siku ndo ayumbishe dunia?
Hapo wanataka kumkazia Mseveni wameona anataka kufanya jambo.
 
Kwahiyo hapa Duniani hili ndilo bomba la kwanza kujengwa? Huko kwingine kote mabomba ya mafuta hayajaharibu mazingira? Halafu waziri wa viwanda na biashara anakwambia biashara sio vita, wakati hii ni hujuma ya waziwazi ya Kenya. Biashara ni vita!

Halafu unaposema tutumie pesa za ndani unamaanisha nini wakati huo mradi ni mali ya hao total? Uganda yeye anachukua asilimia zake tu kwa mafuta yake, na sisi tunachukua tu asilimia zetu kwa ku-host bomba, ila bomba sio letu.
 
Tutoe pesa yaende Nje,sioni haja ya kusafisha maana mafuta yenyewe sio mengi San kiwanda kitabaki iddle wakati kimetumia pesa kubwa
Yaani mataifa yote ya afrika yenye mafuta haya tubakie idle, are you even serious ndugu?!

Kwann tupeleke nje, hizo kazi huoni tutaajiri watu wengi sana hapa afrika na kupunguza sana tatizo la ajira?!

Nani kakudanganya oil reserves ni chache hapa afrika?!
 
Unachukua pesa unawekeza kusafirisha mafuta ghafi afu wanunuzi wakatae.

Kwanini Uganda asitafute pesa ajenge refinery ili auze mafuta hapa hapa East Afrika
Wazungu hawataki kabisa hilo suala, watakuwekea kila aina ya vikwazo usifanikiwe, wana roho za husda sana, hata sisirefinery yetu ya TIPPER walituoa vikwazo tuifunge, la sivyo hakuna misaada
 
Hao walitumwa na Kenya, na hata hili la mabenki mi Kenya, Kenya wanautaka huu mradi..,
 
Nakuuliza maswali naomba unijibu. Hivi sisi hatuna uhitaji wa mafuta, kuanzia mafuta ya taa, spirit, mafuta ya engine (treni, magari, meli na mashine viwandani, majenereta), mafuta ya ndege etc, sisi hatuna matumizi ya hivyo vitu?


Why watanzania huwa mnakasumba ya kununua zaidi mahitaji badala ya kuzalisha tunachotumia?

Ni utamaduni ule ule kama kijijini pale. Unalima mahindi kwaajiri ya kupata unga wa kula nyumbani. Kwa namna hii unafaidika mara mbili kwanza unapata ajira kwa maana ya shughuli ya kiuchumi ya kukuingizia kipato lakini pia unakuwa ndie mtumiaji mkubwa wa bidhaa unayozalisha.

Leo Tanzania ukienda kariakoo 100% ya bidhaa ni imported. Tena ni za quality ya chini sana ukilinganisha na matumizi yake.

Sasa kwann tushindwe kwenye mafuta?! Mimi nadhani sio kwamba haiwezekani ila kuna watu wanakwamisha hili. Refinery plant inaweza kutengenezwa vema kabisa na sio gharama ukilinganisha na gharama tunayoingia saa hii.

Tazama bei za mafuta zinavyoathiri kila eneo la uchumi, why sasa tuogope kuchimba kisima cha maji kwetu eti tunaona milioni 9 kubwa ila tusione gharama ya kutembea km10 kufuata maji ya mradi huko mjini.

Hebu tusiwe waoga.
 
Watu hawana taarifa wanatumia fikra za "Hear say".
 
Wazungu hawataki kabisa hilo suala, watakuwekea kila aina ya vikwazo usifanikiwe, wana roho za husda sana, hata sisirefinery yetu ya TIPPER walituoa vikwazo tuifunge, la sivyo hakuna misaada
Tipper is a joke pale hakuna refinery
 
Fidia kalipa nani? Si hao wenye mradi, sasa wapambane wasipate hasara
Kapitie vizuri mradi ulipaswa enda Kenya ila Magufuri alienda Uganda akakubali kulipa fidia na kutoa eneo la kupitisha bomba
 
Kapitie vizuri mradi ulipaswa enda Kenya ila Magufuri alienda Uganda akakubali kulipa fidia na kutoa eneo la kupitisha bomba
Anyway, bado ardhi ni yetu na waliopewa fidia ni watz wenzetu.., hakuna tatizo.., tusubiri mradi ukamilike.

 
Tanzania tuchukue fursa tuwekeze hapo 50/50 tule matunda pamoja na wayugandabona akili za kiafrika ni ziro kabisa? Hela za mavieiti zipo. Za kufanya uwekezaji hazipo...
Imagine hizo ni kama 5 trillions tu.
Tukichimba dhahabu pale Congo tunamaliza ujenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…