China wameingilia wanatoa wao mpunga ....vita watu upinde ngumu sanaMradi wa Bomba la Uganda na Tanzania wa Hoima Hadi Tanga unaendelea kukumbwa na misukosuko kufuatia taarifa za kujitoa Kwa Benki 9 kati ya 10 ambazo ni washirika na zilikuwa zitoe Fedha za mkopo kujenga mradi..
Waliojitoa ni sababu zile zile za kijinga kwamba eti utachagua mazingira na blaa blaa kama hizo.
My Take.
Uganda, DRC na Tanzania Watumie pesa za Ndani Kumfadhili Ujenzi vinginevyo hii ya kusubiria Wazungu Haitafaulu maana Wana wivu.
Lini? Hayo ya vipengele aliongea Museveni kwamba wakijitoa watalipa fidia.
Mradi wa Bomba la Uganda na Tanzania wa Hoima Hadi Tanga unaendelea kukumbwa na misukosuko kufuatia taarifa za kujitoa Kwa Benki 9 kati ya 10 ambazo ni washirika na zilikuwa zitoe Fedha za mkopo kujenga mradi..
Waliojitoa ni sababu zile zile za kijinga kwamba eti utachagua mazingira na blaa blaa kama hizo.
My Take.
Uganda, DRC na Tanzania Watumie pesa za Ndani Kumfadhili Ujenzi vinginevyo hii ya kusubiria Wazungu Haitafaulu maana Wana wivu.
Kwa Sasa Mchina kajitisa hakuna kukwama na kazi inaendeleaMradi wa Bomba la Uganda na Tanzania wa Hoima Hadi Tanga unaendelea kukumbwa na misukosuko kufuatia taarifa za kujitoa Kwa Benki 9 kati ya 10 ambazo ni washirika na zilikuwa zitoe Fedha za mkopo kujenga mradi..
Waliojitoa ni sababu zile zile za kijinga kwamba eti utachagua mazingira na blaa blaa kama hizo.
My Take.
Uganda, DRC na Tanzania Watumie pesa za Ndani Kumfadhili Ujenzi vinginevyo hii ya kusubiria Wazungu Haitafaulu maana Wana wivu.
Mchina siyo mtu mwema. Hana tofauti na wale mnaowaita mabeberu!!Kwa Sasa Mchina kajitisa hakuna kukwama na kazi inaendelea
Sio mtu mwema kivipi wakati Toka swali kampuni ya China ilikuwa ni mojawapo wa wanahisa na Total?Mchina siyo mtu mwema. Hana tofauti na wale mnaowaita mabeberu!!
Hakuna haja ya kusheherekea. Nao ni wanyonyaji tu.Sio mtu mwema kivipi wakati Toka swali kampuni ya China ilikuwa ni mojawapo wa wanahisa na Total?
Nani kakwambia kuwa hawana pa kuzipeleka hizo pesa??Tuende Dubai tukaombe msaada.Wana pesa ambazo hawana pa kuzipeleka.