Tetesi: Kuna Dalili za Kukwama Kwa Mradi wa Bomba la Mafuta la Uganda, Hoima-Tanga Baada ya Mabenki Washirika Kujitoa

Mradi wa Bomba la Uganda na Tanzania wa Hoima Hadi Tanga unaendelea kukumbwa na misukosuko kufuatia taarifa za kujitoa Kwa Benki 9 kati ya 10 ambazo ni washirika na zilikuwa zitoe Fedha za mkopo kujenga mradi..

Waliojitoa ni sababu zile zile za kijinga kwamba eti utachagua mazingira na blaa blaa kama hizo.

My Take.

Uganda, DRC na Tanzania Watumie pesa za Ndani Kumfadhili Ujenzi vinginevyo hii ya kusubiria Wazungu Haitafaulu maana Wana wivu.

China wameingilia wanatoa wao mpunga ....vita watu upinde ngumu sana
 
Kwa Sasa Mchina kajitisa hakuna kukwama na kazi inaendelea
 
Sio mtu mwema kivipi wakati Toka swali kampuni ya China ilikuwa ni mojawapo wa wanahisa na Total?
Hakuna haja ya kusheherekea. Nao ni wanyonyaji tu.

Mpaka Sasa ni kama TAZARA ni mali yao pia na hatuwezi kufanya kitu pale bila ya kuwajulisha.

Nao ni mabeberu tu!!
 
Uthubutu viongozi wengi hawana.

Na wengi hawana sifa ya uongozi.

Kwa hivyo sishangai kwanini bado waafrika wapo nyuma na umaskini.
 
china hawawezi kuingilia kati? na kama hao TOTAL wamegundua mafuta na hawafanyii kitu, kwenye mikataba Uganda hamka kipengele cha kuwafurusha ili aletwe mwekezaji mwingine? wazungu ni wajinga sana na mashetani sana na huo ushoga wao.
 
Yaani bomba lenu,mmekubaliana nyie mchimbe halafu tena mtegemee misaada?
 
Tuende Dubai tukaombe msaada.Wana pesa ambazo hawana pa kuzipeleka.Wanaweza wakatujengea kama msaada na wala si mkopo.Pesa itapitishiwa benki za kichina na kirusi bila kwenda New York.
 
Back
Top Bottom