Kuna dalili za kutaka kumwongezea muhula wa tatu katika Katiba Mpya ya mwaka 2028 ili kukwepa uwajibikaji baadaye

Kijana?
Hebu tafuta 'age-range' ya ujana.
 
Katiba ni ya Zanzibar, watanganyika wanaingiaje kwenye maswala ya uchaguzi wa Zanzibar?
Ongea hivyo ikiwa hakuna muungano na Zanzibar ni nchi inayojitegemea yenyewe bila muungano, elewa watanganyika wanapaswa kuhoji, na wazanzibar vile vile wanapaswa kufanya hivyo.
 
jikite kwenye hoja mezani gentleman bila kumbwelambwela mambo yasiyohuska na hoja 🐒
Sasa mtu hata hujui ujana unaanzia miaka mingapi na unaishia miaka mingapi.......
Kwahiyo rekebisha andiko lako kwanza.
 
Sasa mtu hata hujui ujana unaanzia miaka mingapi na unaishia miaka mingapi.......
Kwahiyo rekebisha andiko lako kwanza.
hiyo sio muhimu sana gentleman,
ile ya maana zaidi ni Dr.Mwinyi kuongezewa muda wa uongozi SMZ kwa maslahi mapana ya wazanzibari wote, full stop.🐒
 
Mwinyi anafanya kazi ya kutukuka kabisa.Aongezewe muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…