Kuna dalili za simba kufanyiwa figisu fainali ya FA

Soka letu limejaa wadau makanjanja kama hawa. Mimi ni mshabiki wa Yanga, nilikubali kuwa Mbao FC walitufunga kihalali na walikuwa na nidhamu kubwa ya mchezo siku ile. Tatizo la utawala wa Simba ni kutaka huruma za mashabiki wao kila mara. Aveva na uongozi wake wanatambua kuwa, kama wasipochukua ubingwa wa VPL mwaka huu kibarua chao kitakuwa shakani, wangetamani wachukue FA ili wajifiche kwenye kichaka hiki. Nawashauri Simba, wawabane watawala wao zaidi kuliko kulishwa maneno ya kuwa wanaonewa kila siku. Hivi mechi ikichezewa kwenye 'uwanja huru' kuna shida gani? Hivi ni SIMBA na YANGA ndio wana haki ya kuchezea kila mechi TAIFA au UHURU? Kwanini usichezwe hata KAITABA au NYAMAGANA, au kwingine kokote? Tuwe fair, hakuna mahali palipoandikwa kuwa ni SIMBA na YANGA ndio wana haki ya kuchukua ubingwa wa FA au VPL.
 
Sisi tunajua.ila sio makosa yao.iko siku Tanzania nzima itajua simba ni kitu gani.
Still simba
 
Jamaa anataka fainali ifanyike uwanja wa nyumbani wa simba ...!
Mkuu,
Tuacheni ushabiki kwenye mambo ya msingi ya soka.kupeleka fainali jamhuri stadium ni ulimbukeni.tyngetaka neutral ground, bora tungepeleka kaitaba kagera.ile ni pitch nzuri...hio ni fainali sio semi...watazamaji tunataka ladha, timu zote zicheze mpira wa ufundi na uhakika....figisu za uwanja sio dili tena sikuhz, halafu tutegemee eti mshindi wa fa akutane na tp mazembe akashinde kwenye ile pitch ya wajamaa?
 
Tuacheni figisu za usimba na yanga...kama kweli dhamira yetu ya kutafuta neutral ground ni sahihi, kwann ije baada ya timu kufika fainali?, kwanin tusitafute kiwanja chenye best pitch kama kaitaba? Why All this figisu? (Tusiongelee issue ya yanga kucheza semi Mwanza) koz nao ulikuwa mkakat wa simba kutolalamika kupangwa na azam...soka tunaliua wenyewe...ule uwanja wa jamhuri mwaka mzima haujatumika kwa mashindano makubwa. Hata ligi kuu afu unaupa hadhi ya kuhost final? Ama kweli tanzania ni kichwa cha mwendawazimu
 
Mkuu,
Tuacheni ushabiki kwenye mambo ya msingi ya soka.kupeleka fainali jamhuri stadium ni ulimbukeni.tyngetaka neutral ground, bora tungepeleka kaitaba kagera.ile ni pitch nzuri...hio ni fainali sio semi...watazamaji tunataka ladha, timu zote zicheze mpira wa ufundi na uhakika....figisu za uwanja sio dili tena sikuhz, halafu tutegemee eti mshindi wa fa akutane na tp mazembe akashinde kwenye ile pitch ya wajamaa?
Sasa kaitaba kagera ndio neutral ground?
Kwani mwanza na kagera kuna umbali gani?
Halafu mbona sioni tatizo jamhuri stadium pitch yake Ni nzuri tu tofauti na viwanja vingine
Nakama swala la neutral ground hapo nawapa tano Tff sababu wanaotoka mwanza wanafika kiurahisi na wanaotoka dar wanafika kiurahisi
 
Hivi neutral ground inafutwa na hoja ya umbali? Kweli hii ni bongoland-- Wembley ni neutral ground kwa uingereza lkn uko london, so ukicheza final na chelsea maana ake chelsea wako jijin kwao lkn sio uwanja wao...umeelewa? Tuwe tunasifia vitu vya msingi.... Fainali ni mechi muhimu sana,ila figisu zinatumaliza...ukiwa unafikiria uwanja wa kuhost final fikiria hata mapato, hiv tff ingekusanya kias gani kwa kupeleka mechi hiyo taifa? Vipi kuhusu ulinzi? Ndio maana mechi za azam na simba/yanga hupigwa taifa, kwanin? Ndio maana nakwambia tz ni kichwa chwa mwendawazimu
 
Only in ma country, eti droo ya kuchagua uwanja khaaaa,hivi hawa watu wanajua hata maana ya finali? Km Dar waliona haifai pana Kaitaba wana uwanja mzuri na Kirumba, why Dodoma ambako uwanja ni mbovu kiasi hicho?Kwa hili bado tuna safari ndefu sana . Halafu nyie Yanga wacheni kushabikia ujinga hata mngekuwa nyie lazima mngelalamika tu lkn sababu tunaongozwa na ushabiki zaidi ndo maana mnashangilia
 
Tff wana akili sana wameona bora fainali ichezwe makao makuu ya nchi.

Mikia mnalalamika nn? Mnataka mjipangie na uwanja wa kucheza,

Kama ni hivyo mnavyotaka haina haja ya kua na Tff.
 
Hivi neutral ground inafutwa na hoja ya umbali? Kweli hii ni bongoland-- Wembley ni neutral ground kwa uingereza lkn uko london, so ukicheza final na chelsea maana ake chelsea wako jijin kwao lkn sio uwanja wao...umeelewa? Tuwe tunasifia vitu vya msingi.... Fainali ni mechi muhimu sana,ila figisu zinatumaliza...ukiwa unafikiria uwanja wa kuhost final fikiria hata mapato, hiv tff ingekusanya kias gani kwa kupeleka mechi hiyo taifa? Vipi kuhusu ulinzi? Ndio maana mechi za azam na simba/yanga hupigwa taifa, kwanin? Ndio maana nakwambia tz ni kichwa chwa mwendawazimu
Mie bado sijaona hoja ya msingi inaonesha ww ushabiki umekulevya
 
Mkuu,
Tuacheni ushabiki kwenye mambo ya msingi ya soka.kupeleka fainali jamhuri stadium ni ulimbukeni.tyngetaka neutral ground, bora tungepeleka kaitaba kagera.ile ni pitch nzuri...hio ni fainali sio semi...watazamaji tunataka ladha, timu zote zicheze mpira wa ufundi na uhakika....figisu za uwanja sio dili tena sikuhz, halafu tutegemee eti mshindi wa fa akutane na tp mazembe akashinde kwenye ile pitch ya wajamaa?
Nimekuelewa!

Ila cha kushangaza mbona wenzenu hawalalamiki kuhusu kucheza Jamhuri.?

Kwani ukicheza kwenye Uwanja mzuri ndio utakuwa ktk nafasi ya Kuwafunga TP Mazembe?

Neutral Ground, suala la Distance linazingatiwa pia.
Kwa Mbao FC kucheza pale Kaitaba uwezi kusema Nyutro Graund....

Ndio maana EUFA Final inapigwa Cardiff msimu huu...

Acheni kulalamika bhana,chezeni mpira!
 
Sisi tunajua.ila sio makosa yao.iko siku Tanzania nzima itajua simba ni kitu gani.
Still simba
Ipo siku ni siku gani hiyo Mkuu! Maana mm naona kila siku Ubingwa wa Ligi anabeba Yanga tu!

Tuendelee kumngoja Yesu!
 
Hivi ni SIMBA na YANGA ndio wana haki ya kuchezea kila mechi TAIFA au UHURU? Kwanini usichezwe hata KAITABA au NYAMAGANA, au kwingine kokote? Tuwe fair, hakuna mahali palipoandikwa kuwa ni SIMBA na YANGA ndio wana haki ya kuchukua ubingwa wa FA au VPL.

Jamaa mishipa ya Shingo imewakakamaa kinoma, wakiitaka TFF iwapangie Kwenye uwanja wanao upenda wao.....

Inabidi Tujifunze kuheshimu sheria zetu!
 
Back
Top Bottom