Hivi ni SIMBA na YANGA ndio wana haki ya kuchezea kila mechi TAIFA au UHURU? Kwanini usichezwe hata KAITABA au NYAMAGANA, au kwingine kokote? Tuwe fair, hakuna mahali palipoandikwa kuwa ni SIMBA na YANGA ndio wana haki ya kuchukua ubingwa wa FA au VPL.
Sasa kama una uhakika wa kutwaa taji la Fa mbona umeanza kuweweseka kiasi hicho?kwa taarifa yako finali ya FA inapigwa Jamhuri Dodomani wazi kuwa Jamali Malinzi baada ya timu yake kutolewa na hata baada ya refa kushindwa kabisa kuiokoa kule msituni sasa kuna dalili za figisu figisu kwa simba isitwae taji hilo... kuna tetesi kuwa
1. Ifanyike kila mbinu mechi isichezwe uwanja wa taifa eti kwa vile Simba itakuwa mwenyeji.. na hivyo mechi ipelekwe uwanja hovyo na nimesikia eti (sokoine) ili kuifanya simba ishindwe maana Mbao wamezoea viwanja vya ndondo.
2. Refa aibebe mbao FC na tetesi zinasema Martin Saanya anaweza kupewa kazi hiyo maana hana aibu... kuna figisu nyingine nyingi sitaziweka wazi kwa sasa...
mimi nawaomba Bakuli FC, tafuteni hela mlipe wachezaji wenu, acheni kufanya figisu kwa mgongo wa TFF, Simba ushindi ni wetu hata mfanyeje.
kwa kuwasaidia tu bakuli Fc, nchini uingereza fainali zote zinachezwa pale Wembely maana ni uwanja wa taifa
Nikizazi cha wabugia ugoroDuh Mungu nusuru kizazi hiki.
WangeandamanaSimba mmezoea kulialia sana asee, hadi mnakera... Nyie kila linalopangwa mnafanyiwa figisu... Kwani huko mbeya nyie hamjaenda kucheza mechi za ligi kuu? Kwahiyo mlitaka mpewe nyie kipaumbele cha kuchezea Dar ili mshinde nyie? Mwanaume kulialia ni aibu bhana... Pambaneni mshinde, msiishi kwa mazoea.... Maboya ninyi.... Yanga kapangiwa Mwanza kaenda kucheza katolewa, mbona hawajashika mchawi? Sipati picha nyie mngepelekwa mwanza ingekuaje....
Hakuna shidaWao si waliitaka Mbao tumewapatia mbao yao
Wao si waliitaka Mbao tumewapatia mbao yao
kaa kimya kijana
simba tunashinda hata kwa figisu!
Yale yale ya TUMEFUNGWA KWA VILE MVUA ILIKUWA INANYESHA.... MKIULIZWA KAMA MLICHEZA NA SAMAKI AU KAMBALE, HAMNA JIBUni wazi kuwa Jamali Malinzi baada ya timu yake kutolewa na hata baada ya refa kushindwa kabisa kuiokoa kule msituni sasa kuna dalili za figisu figisu kwa simba isitwae taji hilo... kuna tetesi kuwa
1. Ifanyike kila mbinu mechi isichezwe uwanja wa taifa eti kwa vile Simba itakuwa mwenyeji.. na hivyo mechi ipelekwe uwanja hovyo na nimesikia eti (sokoine) ili kuifanya simba ishindwe maana Mbao wamezoea viwanja vya ndondo.
2. Refa aibebe mbao FC na tetesi zinasema Martin Saanya anaweza kupewa kazi hiyo maana hana aibu... kuna figisu nyingine nyingi sitaziweka wazi kwa sasa...
mimi nawaomba Bakuli FC, tafuteni hela mlipe wachezaji wenu, acheni kufanya figisu kwa mgongo wa TFF, Simba ushindi ni wetu hata mfanyeje.
kwa kuwasaidia tu bakuli Fc, nchini uingereza fainali zote zinachezwa pale Wembely maana ni uwanja wa taifa
Wewe hutaki ndugai akawaone simba wake?Mkuu,
Tuacheni ushabiki kwenye mambo ya msingi ya soka.kupeleka fainali jamhuri stadium ni ulimbukeni.tyngetaka neutral ground, bora tungepeleka kaitaba kagera.ile ni pitch nzuri...hio ni fainali sio semi...watazamaji tunataka ladha, timu zote zicheze mpira wa ufundi na uhakika....figisu za uwanja sio dili tena sikuhz, halafu tutegemee eti mshindi wa fa akutane na tp mazembe akashinde kwenye ile pitch ya wajamaa?
Gwaride limepigiwa juzi tu hivyo uwanja upo level wacha kuogopaMkuu,
Tuacheni figisu za usimba na yanga...kama kweli dhamira yetu ya kutafuta neutral ground ni sahihi, kwann ije baada ya timu kufika fainali?, kwanin tusitafute kiwanja chenye best pitch kama kaitaba? Why All this figisu? (Tusiongelee issue ya yanga kucheza semi Mwanza) koz nao ulikuwa mkakat wa simba kutolalamika kupangwa na azam...soka tunaliua wenyewe...ule uwanja wa jamhuri mwaka mzima haujatumika kwa mashindano makubwa. Hata ligi kuu afu unaupa hadhi ya kuhost final? Ama kweli tanzania ni kichwa cha mwendawazimu
Alafu ndio makao mkuu ya nchi yetuSasa kaitaba kagera ndio neutral ground?
Kwani mwanza na kagera kuna umbali gani?
Halafu mbona sioni tatizo jamhuri stadium pitch yake Ni nzuri tu tofauti na viwanja vingine
Nakama swala la neutral ground hapo nawapa tano Tff sababu wanaotoka mwanza wanafika kiurahisi na wanaotoka dar wanafika kiurahisi
Simba na mbao hadhi yenu siyo taifa,hadhi yenu ni huko dodoma au kigomaHivi neutral ground inafutwa na hoja ya umbali? Kweli hii ni bongoland-- Wembley ni neutral ground kwa uingereza lkn uko london, so ukicheza final na chelsea maana ake chelsea wako jijin kwao lkn sio uwanja wao...umeelewa? Tuwe tunasifia vitu vya msingi.... Fainali ni mechi muhimu sana,ila figisu zinatumaliza...ukiwa unafikiria uwanja wa kuhost final fikiria hata mapato, hiv tff ingekusanya kias gani kwa kupeleka mechi hiyo taifa? Vipi kuhusu ulinzi? Ndio maana mechi za azam na simba/yanga hupigwa taifa, kwanin? Ndio maana nakwambia tz ni kichwa chwa mwendawazimu
Wewe unayejua maana ya fainali nenda kapange uwanja unao taka weweOnly in ma country, eti droo ya kuchagua uwanja khaaaa,hivi hawa watu wanajua hata maana ya finali? Km Dar waliona haifai pana Kaitaba wana uwanja mzuri na Kirumba, why Dodoma ambako uwanja ni mbovu kiasi hicho?Kwa hili bado tuna safari ndefu sana . Halafu nyie Yanga wacheni kushabikia ujinga hata mngekuwa nyie lazima mngelalamika tu lkn sababu tunaongozwa na ushabiki zaidi ndo maana mnashangilia
Kande gani hizo mkuu? £bu kacheki msimamo wa Ligi kwanza...Ngaya wanashindia kande now dayz...
Sio kumngoja yesu.tayari mungu anaaza kuturipia,si unaona kwa jamaa hakukariki.njaa tupu sasa usajili ndio huo unakuja.kama safari ya mwanza basi linakata mafuta njiani,watamsajiri nani wakati waliopo wanataka kuondokaIpo siku ni siku gani hiyo Mkuu! Maana mm naona kila siku Ubingwa wa Ligi anabeba Yanga tu!
Tuendelee kumngoja Yesu!
Akili yako sio ya kiuanamichezo ww na hujui uliongealo pole sibishan na wwWewe unayejua maana ya fainali nenda kapange uwanja unao taka wewe
Naona unadhalilisha ndege za serikali yaani yanga wameenda mwanza na ndege wewe unaleta uhalo wako wa uongo hapa jamvini?Sio kumngoja yesu.tayari mungu anaaza kuturipia,si unaona kwa jamaa hakukariki.njaa tupu sasa usajili ndio huo unakuja.kama safari ya mwanza basi linakata mafuta njiani,watamsajiri nani wakati waliopo wanataka kuondoka