Kuna dalili za simba kufanyiwa figisu fainali ya FA

Akili yako sio ya kiuanamichezo ww na hujui uliongealo pole sibishan na ww
Hakuna mwenye kutaka kubishana na wewe ili mradi wewe na jf member ukichangia ubuyu tutakusahihisha
 
Hakuna mwenye kutaka kubishana na wewe ili mradi wewe na jf member ukichangia ubuyu tutakusahihisha
Kwa hyo ww mwenye kuelewa nipe mfano ni nchi gani walowahi kuchezesha droo ya kupanga uwanja wa kuchezea fainali yoyote? Nipe mfano wa nchi moja tu
 
Kwa hyo ww mwenye kuelewa nipe mfano ni nchi gani walowahi kuchezesha droo ya kupanga uwanja wa kuchezea fainali yoyote? Nipe mfano wa nchi moja tu
Tuliza mshono huo
 
Tuliza mshono huo
Mungu akusamehe bure unaongea kitu usichokijua pole sna siku zote usiongozwe na mhemko ndugu yang kuwa mwanamichezo c kwa sabab ww mnazi wa Yanga ama Azam mfano
Changia kinacholeta tija kwa mpira wetu
Uwe na jion njema wkat mwingine bishana ukiwa na fact
 
Siyo lazima niwe mshabiki
 
Kwa nini uwanja haukupangwa toka mwanzo?
 
TFF wametoa taarifa mechi ya fainali FA itachezwa uwanja wa Jamhuri Dodoma.
 
HUWASIJIBU WATU WALIO KWENYE LIST YA VYETI FEKII UNAONEKANA ZE SEMU
 
Sio kumngoja yesu.tayari mungu anaaza kuturipia,si unaona kwa jamaa hakukariki.njaa tupu sasa usajili ndio huo unakuja.kama safari ya mwanza basi linakata mafuta njiani,watamsajiri nani wakati waliopo wanataka kuondoka


Mkuu! Unasahau kuwa unaizungumzia Jangwani.

Sisi sio nyinyi! Hata kuwe na mgomo vipi ,vipigo vya uwanjani havipungui kabisa. Tunadhihirisha hilo kwenye Ligi.

Hebu rudi tena ukasome msimamo vyema then uje utuambia kama migogoro inaathiri chochote kule!
 
yani bakuli FC wanatoka povu hapa, kuna mmoja hapo eti anatoa mfano wa UEFA... kwani UEFA inahusisha timu za nchi moja? yaani ni mtu mpuuzi tu ndio atasifia huu upuuzi wa Jamal Malinzi...

kuna mdau hapo ameuliza swali... ni nchi gani duniani imeshawahi kuchezesha draw ya kutafuta uwanja wa fainali?

Binafsi naomba serikali iingilie kati huu ujinga wa wazi, nashangaa pia kuona viongozi wa simba wako kimya katika hili
 
Simba ilicheza mashindano gani viwanja vizuri? Au unabwabwaja tu. Haya wanakoenda kucheza ndanda kuna kapeti, haya sokoine mbeya, huko mwanza au unaleta hoja za kushindwa hapa,mafi ya mbwa.
 
Kanuni inasemaje kuhusu uchaguzi wa viwanja?
Viwanja vinapangwa sambamba na ratiba. Sio kama alivyosema Malinzi eti fainali itachezwa Mei 28, ila kiwanja kitafanyiwa droo baadaye
 
Simba ilicheza mashindano gani viwanja vizuri? Au unabwabwaja tu. Haya wanakoenda kucheza ndanda kuna kapeti, haya sokoine mbeya, huko mwanza au unaleta hoja za kushindwa hapa,mafi ya mbwa.
Mkuu,
Kumbuka hiyo ni fainali..kama watu wanajidanganya kuwa Simba itafungwa wanapoteza muda. Simba atashinda tena zaidi ya goli moja..lakini kama mdau was mchezo inatakiwa tupate ladha safi ya mpira. Mpira ambao utanifanya niende kiwanjan au nikae mbele ya TV kutazama.sio kama zile butua butua za kirumba. Ndio maana nikashauri,kwanin tusiweke hiyo mechi kwenue pitch nzur ukizingatia ni fainali? Msimamo wangu ungekuwa hivohivo hata kama yanga angefuzu
 
Sasa umeongelea mambo mengine, hayo yanaeleweka. Labda kuna mambo mengine nyuma ya pazia. Lakini wangepeleka hata chamazi, sijui kwanini!!
 
Mikia vp mbona mapema? mmesahau kama nusu fainali yenu ilipigwa taifa na sio azam complex.. mkuki kwa nguruwe! mbona mbao hawajalalamika au mpelekwe tena kirumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…