Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hakuna mwenye kutaka kubishana na wewe ili mradi wewe na jf member ukichangia ubuyu tutakusahihishaAkili yako sio ya kiuanamichezo ww na hujui uliongealo pole sibishan na ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mwenye kutaka kubishana na wewe ili mradi wewe na jf member ukichangia ubuyu tutakusahihishaAkili yako sio ya kiuanamichezo ww na hujui uliongealo pole sibishan na ww
Kwa hyo ww mwenye kuelewa nipe mfano ni nchi gani walowahi kuchezesha droo ya kupanga uwanja wa kuchezea fainali yoyote? Nipe mfano wa nchi moja tuHakuna mwenye kutaka kubishana na wewe ili mradi wewe na jf member ukichangia ubuyu tutakusahihisha
Tuliza mshono huoKwa hyo ww mwenye kuelewa nipe mfano ni nchi gani walowahi kuchezesha droo ya kupanga uwanja wa kuchezea fainali yoyote? Nipe mfano wa nchi moja tu
Mungu akusamehe bure unaongea kitu usichokijua pole sna siku zote usiongozwe na mhemko ndugu yang kuwa mwanamichezo c kwa sabab ww mnazi wa Yanga ama Azam mfanoTuliza mshono huo
Siyo lazima niwe mshabikiMungu akusamehe bure unaongea kitu usichokijua pole sna siku zote usiongozwe na mhemko ndugu yang kuwa mwanamichezo c kwa sabab ww mnazi wa Yanga ama Azam mfano
Changia kinacholeta tija kwa mpira wetu
Uwe na jion njema wkat mwingine bishana ukiwa na fact
HUWASIJIBU WATU WALIO KWENYE LIST YA VYETI FEKII UNAONEKANA ZE SEMUni wazi kuwa Jamali Malinzi baada ya timu yake kutolewa na hata baada ya refa kushindwa kabisa kuiokoa kule msituni sasa kuna dalili za figisu figisu kwa simba isitwae taji hilo... kuna tetesi kuwa
1. Ifanyike kila mbinu mechi isichezwe uwanja wa taifa eti kwa vile Simba itakuwa mwenyeji.. na hivyo mechi ipelekwe uwanja hovyo na nimesikia eti (sokoine) ili kuifanya simba ishindwe maana Mbao wamezoea viwanja vya ndondo.
2. Refa aibebe mbao FC na tetesi zinasema Martin Saanya anaweza kupewa kazi hiyo maana hana aibu... kuna figisu nyingine nyingi sitaziweka wazi kwa sasa...
mimi nawaomba Bakuli FC, tafuteni hela mlipe wachezaji wenu, acheni kufanya figisu kwa mgongo wa TFF, Simba ushindi ni wetu hata mfanyeje.
kwa kuwasaidia tu bakuli Fc, nchini uingereza fainali zote zinachezwa pale Wembely maana ni uwanja wa taifa
Sio kumngoja yesu.tayari mungu anaaza kuturipia,si unaona kwa jamaa hakukariki.njaa tupu sasa usajili ndio huo unakuja.kama safari ya mwanza basi linakata mafuta njiani,watamsajiri nani wakati waliopo wanataka kuondoka
Simba ilicheza mashindano gani viwanja vizuri? Au unabwabwaja tu. Haya wanakoenda kucheza ndanda kuna kapeti, haya sokoine mbeya, huko mwanza au unaleta hoja za kushindwa hapa,mafi ya mbwa.ni wazi kuwa Jamali Malinzi baada ya timu yake kutolewa na hata baada ya refa kushindwa kabisa kuiokoa kule msituni sasa kuna dalili za figisu figisu kwa simba isitwae taji hilo... kuna tetesi kuwa
1. Ifanyike kila mbinu mechi isichezwe uwanja wa taifa eti kwa vile Simba itakuwa mwenyeji.. na hivyo mechi ipelekwe uwanja hovyo na nimesikia eti (sokoine) ili kuifanya simba ishindwe maana Mbao wamezoea viwanja vya ndondo.
2. Refa aibebe mbao FC na tetesi zinasema Martin Saanya anaweza kupewa kazi hiyo maana hana aibu... kuna figisu nyingine nyingi sitaziweka wazi kwa sasa...
mimi nawaomba Bakuli FC, tafuteni hela mlipe wachezaji wenu, acheni kufanya figisu kwa mgongo wa TFF, Simba ushindi ni wetu hata mfanyeje.
kwa kuwasaidia tu bakuli Fc, nchini uingereza fainali zote zinachezwa pale Wembely maana ni uwanja wa taifa
-----------updates-------
fainali inafanyika jamhuri Dodoma... hii ni fitina ya wazi kabisa kuwahi kufanyika...
Viwanja vinapangwa sambamba na ratiba. Sio kama alivyosema Malinzi eti fainali itachezwa Mei 28, ila kiwanja kitafanyiwa droo baadayeKanuni inasemaje kuhusu uchaguzi wa viwanja?
Mkuu,Simba ilicheza mashindano gani viwanja vizuri? Au unabwabwaja tu. Haya wanakoenda kucheza ndanda kuna kapeti, haya sokoine mbeya, huko mwanza au unaleta hoja za kushindwa hapa,mafi ya mbwa.
Sasa umeongelea mambo mengine, hayo yanaeleweka. Labda kuna mambo mengine nyuma ya pazia. Lakini wangepeleka hata chamazi, sijui kwanini!!Mkuu,
Kumbuka hiyo ni fainali..kama watu wanajidanganya kuwa Simba itafungwa wanapoteza muda. Simba atashinda tena zaidi ya goli moja..lakini kama mdau was mchezo inatakiwa tupate ladha safi ya mpira. Mpira ambao utanifanya niende kiwanjan au nikae mbele ya TV kutazama.sio kama zile butua butua za kirumba. Ndio maana nikashauri,kwanin tusiweke hiyo mechi kwenue pitch nzur ukizingatia ni fainali? Msimamo wangu ungekuwa hivohivo hata kama yanga angefuzu