Yaani ugomvi wa Gwajima na serikali sehemu ya kufanyia ibada inafungwa! Hii sio sawa. Ile ni sehemu ya watu kufanyia ibada sio nyumba ya Gwajima. Ile ni sehemu ya kumwabudu Mungu Wala sio kumwabudu Gwajima. Ndio maana hata mashehe wanapovutana na serikali kama wale waliotuhumiwa ugaidi misikiti yao haukufungwa. Iweje tuhuma za Askofu kanisa lifutwe. Serikali ingedeeal na Gwajima na sio kanisa.Tusitake kupamba lugha. Sasa iko wazi kwamba Ukristu unachukiwa na viongozi wakuu wa nchi hii. Tumeanza na kupiga vita vyama vya kisiasa vinavyoongozwa na wakristu na kuinua kwa amkusudi vinavyoongozwa na waislam.
Sasa Utakuwa wa CCM, na upinzani utakuwa wa ACT na CHAUMA.
Makanisa yanafutwa bila sababu ya msingi. Vurugu zilizosadikiwa kusababishwa na mahubiri ya kisslam, mkono wa sheria uliishia kwa watu binafsi waliohusika, lakini kwa ukristu tunasikia kanisa zima linafutwa. Tuendelee kuona mgawanyiko huu ambao sasa umeonesha sura halisi ya dini.
Are you writing under influence!It doesn't make sense, kama Mrema yeye dini yake ni hela ya Pombe.
Hicho chama cha Rungwe ni cha CCM ndio maana huwa cha kwanza kupongeza uchaguzi na kusema ni huru na haki.
Tusitake kupamba lugha. Sasa iko wazi kwamba Ukristu unachukiwa na viongozi wakuu wa nchi hii. Tumeanza na kupiga vita vyama vya kisiasa vinavyoongozwa na wakristu na kuinua kwa amkusudi vinavyoongozwa na waislam.
Sasa Utakuwa wa CCM, na upinzani utakuwa wa ACT na CHAUMA.
Makanisa yanafutwa bila sababu ya msingi. Vurugu zilizosadikiwa kusababishwa na mahubiri ya kisslam, mkono wa sheria uliishia kwa watu binafsi waliohusika, lakini kwa ukristu tunasikia kanisa zima linafutwa. Tuendelee kuona mgawanyiko huu ambao sasa umeonesha sura
Tanzania ni nchi ya kidunia (secular state) – Katiba haijengi upande wa dini yoyote. Serikali inapochukua hatua kwa taasisi ya dini, hufanya hivyo kwa misingi ya sheria, siyo dini ya taasisi hiyo.
Taasisi zote za kidini – iwe kanisa au msikiti – zinasajiliwa na serikali chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani, kwa mujibu wa Sheria ya Jumuiya za Kijamii. Kama taasisi hizo zikikiuka masharti ya usajili (mfano uchochezi, matumizi mabaya ya ardhi, kutofanya hesabu), zinaweza kufutiwa usajili, bila kujali ni ya dini gani.
Ikiwa Askofu au Sheikh anahusishwa na jambo linalokiuka sheria, mamlaka inapaswa kumchukulia hatua yeye binafsi. Hata hivyo, kama kanisa au msikiti linahusishwa moja kwa moja – kama chombo au kiini cha kosa – basi serikali hulazimika kufuatilia taasisi nzima.
Licha ya shutuma hizo, makanisa ya madhehebu yote – KKKT, RC, EAGT, TAG, Anglican n.k – yanaendelea na kazi zao bila bugudha. Matukio ya taasisi za kidini kufutiwa usajili ni machache na hayahusiani na dini bali na matendo ya kisheria.
Vyama vya siasa havisajiliwi kwa msingi wa dini. Kiongozi kuwa Mkristo au Muislamu si hoja ya kisheria. Upinzani au serikali inatokana na ridhaa ya wananchi, si dini ya viongozi wao.
Madai dhidi ya viongozi au taasisi yanapaswa kuwasilishwa kwa ushahidi. Hisia au maneno ya jumla hayatoshi kuthibitisha chuki dhidi ya dini fulani. Badala ya jumla jumla, hoja ipelekwe kwa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Tanzania imejengwa kwa misingi ya umoja, uvumilivu wa kidini na mshikamano wa kitaifa. Kupandikiza dhana ya kuwa "serikali inapendelea dini fulani" kunahatarisha umoja wa kitaifa, kitu ambacho wote – Waislamu na Wakristo – tunapaswa kukilinda.
“Badala ya kuendeleza kauli za mgawanyiko, ni busara kuuliza: je, taasisi fulani imekiuka sheria gani? Na kama ni kweli, hatua ilichukuliwa kwa haki? Huo ndio mjadala
Maigizo ni moja ya upumbavuTazama hapa wameaza kugeukana.Mapolisiccm na Machaumaccm.😂
View: https://youtu.be/oj4w29_JH3w?si=CkyItOGI-oL2db9w
Rais muislam, waziri mkuu muislam, mulilo muislam, ningekuwa mimi ningeshughulika na watu na nisingeshughulika na makanisa, nisijeeleweka vibaya. samia anafurahia kuona hivyo labda kwa sababu yeye sio mkristo.Tusitake kupamba lugha. Sasa iko wazi kwamba Ukristu unachukiwa na viongozi wakuu wa nchi hii. Tumeanza na kupiga vita vyama vya kisiasa vinavyoongozwa na wakristu na kuinua kwa amkusudi vinavyoongozwa na waislam.
Sasa Utakuwa wa CCM, na upinzani utakuwa wa ACT na CHAUMMA.
Makanisa yanafutwa bila sababu ya msingi. Vurugu zilizosadikiwa kusababishwa na mahubiri ya kisslam, mkono wa sheria uliishia kwa watu binafsi waliohusika, lakini kwa ukristu tunasikia kanisa zima linafutwa. Tuendelee kuona mgawanyiko huu ambao sasa umeonesha sura halisi ya dini.
Tazama hapa wameaza kugeukana.Mapolisiccm na Machaumaccm.😂
View: https://youtu.be/oj4w29_JH3w?si=CkyItOGI-oL2db9w
Kwa nini usiwaze kuwachinja wao kama kuku?Kikinuka US itawaalika Al-qaeda na ISSIS waje kutuchinja kama kuku.
Kwenye Uislamu hakuna mdikiti au dhehebu la mtu binafsi sasa utafutaje misikiti na madhebebu yake makuu mawili tuu?Tusitake kupamba lugha. Sasa iko wazi kwamba Ukristu unachukiwa na viongozi wakuu wa nchi hii. Tumeanza na kupiga vita vyama vya kisiasa vinavyoongozwa na wakristu na kuinua kwa amkusudi vinavyoongozwa na waislam.
Sasa Utakuwa wa CCM, na upinzani utakuwa wa ACT na CHAUMMA.
Makanisa yanafutwa bila sababu ya msingi. Vurugu zilizosadikiwa kusababishwa na mahubiri ya kisslam, mkono wa sheria uliishia kwa watu binafsi waliohusika, lakini kwa ukristu tunasikia kanisa zima linafutwa. Tuendelee kuona mgawanyiko huu ambao sasa umeonesha sura halisi ya dini.
Leta takwimu wewe kilaza, hapa sio magurupu yenu ya wasap.....makanisa yanafutwa bila sababu ya msingi.
Kweli:Rais muislam, waziri mkuu muislam, mulilo muislam, ningekuwa mimi ningeshughulika na watu na nisingeshughulika na makanisa, nisijeeleweka vibaya. samia anafurahia kuona hivyo labda kwa sababu yeye sio mkristo.
Ni wakati wa kufunga na kuomba kweli tuko kwenye hali mbaya kuwahi kushuhudiwaTusitake kupamba lugha. Sasa iko wazi kwamba Ukristu unachukiwa na viongozi wakuu wa nchi hii. Tumeanza na kupiga vita vyama vya kisiasa vinavyoongozwa na wakristu na kuinua kwa amkusudi vinavyoongozwa na waislam.
Sasa Utakuwa wa CCM, na upinzani utakuwa wa ACT na CHAUMMA.
Makanisa yanafutwa bila sababu ya msingi. Vurugu zilizosadikiwa kusababishwa na mahubiri ya kisslam, mkono wa sheria uliishia kwa watu binafsi waliohusika, lakini kwa ukristu tunasikia kanisa zima linafutwa. Tuendelee kuona mgawanyiko huu ambao sasa umeonesha sura halisi ya dini.
Hitimisho lako ni fake! Sheria haitakiwi kuwa elastic. Eti kwa baadhi inabana, wengine inalegea. CCM walipokiuka katiba yao ya kumpata mgombea, msajili wa vyama aliingilia? KWa nini aingilie eti CAHDEMA imekiuka?Chukua point hizi 7
✅ 1. Utawala wa Sheria Haufungamani na Dini
---
✅ 2. Makanisa na Misikiti Hutambuliwa kama Taasisi za Kisheria
---
✅ 3. Si Kila Tendo la Kiongozi wa Dini Ni Tendo la Taasisi
---
✅ 4. Makanisa Mengi Yanaendelea Kufanya Kazi Tanzania
---
✅ 5. Siasa si ya Wakristo wala Waislamu – ni ya Raia
---
✅ 6. Kukosoa Serikali si Uthibitisho wa Udini
---
✅ 7. Kumgawa taifa kwa misingi ya dini ni hatari kwa amani
🔚 Hitimisho la Kistaarabu:
Waliofunga kanisa wamepagawaYaani ugomvi wa Gwajima na serikali sehemu ya kufanyia ibada inafungwa! Hii sio sawa. Ile ni sehemu ya watu kufanyia ibada sio nyumba ya Gwajima. Ile ni sehemu ya kumwabudu Mungu Wala sio kumwabudu Gwajima. Ndio maana hata mashehe wanapovutana na serikali kama wale waliotuhumiwa ugaidi misikiti yao haukufungwa. Iweje tuhuma za Askofu kanisa lifutwe. Serikali ingedeeal na Gwajima na sio kanisa.