Kuna dalili zote za chuki za kidini katika viongozi wakuu wa nchi hii

Tusitake kupamba lugha. Sasa iko wazi kwamba Ukristu unachukiwa na viongozi wakuu wa nchi hii. Tumeanza na kupiga vita vyama vya kisiasa vinavyoongozwa na wakristu na kuinua kwa amkusudi vinavyoongozwa na waislam.

Sasa Utakuwa wa CCM, na upinzani utakuwa wa ACT na CHAUMMA.

Makanisa yanafutwa bila sababu ya msingi. Vurugu zilizosadikiwa kusababishwa na mahubiri ya kisslam, mkono wa sheria uliishia kwa watu binafsi waliohusika, lakini kwa ukristu tunasikia kanisa zima linafutwa. Tuendelee kuona mgawanyiko huu ambao sasa umeonesha sura halisi ya dini.
Chuki zao wabaki nazo huko huko sisi wananchi hatutaki mambo ya ajabu ajabu. Kesho iddi tunaalikana mapilau na masoda waambieni waje wajifunze upendo kwa wananchi.
 
Kweli:
1. CCM M/kiti: Mwislamu
2. CHAUMA M/kiti: Mwislamu
3. ACT M/kiti: Mwislamu

Miaka ya mzee Rukhsa! Mwembechai tulishuhudia ikiwa ni kitovu cha kutoheshimu serikali. Misikiti Dar ilijaa kashfa kwa serikali. Kwamtoro waumini wakala kichapo. Lakini hatukusikia etu Uislamu umefutwa nchini.

Issa Ponda na wale Masheikh wa uamsho vipi? Mbona serikali ilihangaika na wao kama watu binafsi? Au sababu imepatikana ya kupambana na Ukristu?
shehe ponda mchezesha karate na kundecha wanajulikana ni magaidi na aliyeanza kuwashughulikia ni muislam kikwete, wala usilete mfano wake. kesi zote za magaidi nchini ni vijana wa ponda na kundecha, ndio wanawaita amiri wao.
 
Tusitake kupamba lugha. Sasa iko wazi kwamba Ukristu unachukiwa na viongozi wakuu wa nchi hii. Tumeanza na kupiga vita vyama vya kisiasa vinavyoongozwa na wakristu na kuinua kwa amkusudi vinavyoongozwa na waislam.

Sasa Utakuwa wa CCM, na upinzani utakuwa wa ACT na CHAUMMA.

Makanisa yanafutwa bila sababu ya msingi. Vurugu zilizosadikiwa kusababishwa na mahubiri ya kisslam, mkono wa sheria uliishia kwa watu binafsi waliohusika, lakini kwa ukristu tunasikia kanisa zima linafutwa. Tuendelee kuona mgawanyiko huu ambao sasa umeonesha sura halisi ya dini.
Siku ikitokea atakaye fuata ataomba msamaha yatapita
 
Sisali kwa Gwajima, lakini hakuna jambo limeniuma mwaka huu kama serikali kufungia kanisa lote, na yale makanisa mikoani na kwengine takribani 2000, waumini malaki wote hao wamenyimwa haki ya kuabudu kwa sababu ya kosa moja la mtu aliyepo Dar es Salaam.

1. katiba inatoa haki ya kuabudu, hadi wapagani wana haki hiyo, ila samia anafunga kanisa. Kufunga makanisa nchi nzima kunanyima haki waumini ambao hawana kosa lolote wasiabudu, tafadhali rudisheni usajili ili nchi ikae na amani na furaha. hamuwezi kuzuia watu kuabudu au kulazimisha waabudu vile ninyi mnavyotaka.

2. Kama kuna kosa, aadhibiwe Gwajima, ndiye aliongea, sio waumini. Kanisa moja tu Dar es Salaam limekosea yeye amefuta na branches zake zote nchi nzima makanisa zaidi ya 2000, hivi msikiti mmoja ukikosea atafuta misikiti yote nchi nzima au branchez zake nchi nzima? au kwa sababu hili ni kanisa na yeye sio mkristo ndio ameamua kushughulikia wakristo?

3. Waumini wamekosa nini? makanisa mikoani, na hata hapa dsm, na hata pale ubungo, waumini wana kosa gani hata serikali iwazuie kusali?

4. nchi zenye akili zinahamasisha watu wake wamwabudu Mungu, ila samia anafunga makanisa.

5. watu tunajiuliza, ungekuwa msikiti angefunga? au amefunga kwa kuwa ni kanisa?

6. Muislam usiyemjua Mungu wa Israel utamtukanaje Mkristo kuwa ni mtumishi wa shetani?

7. wakatoliki wamekosoa, mbona hawajafutwa hapa Tanzania? au hawajasajiliwa au hawahitaji usajili. sishabikii kwamba wakatoliki washughulikiwe No, ila hoja ni kwamba mbona kuna double standards?

8. samia anafikiri kwa kutukana kanisa na kuhudhuria kwa malasusa atakuwa amejisafisha mbele ya wakristo, aliye karibu naye amshauri, ASITUGAWE WALA KUTULETEA UDINI NCHI HII.

9. samia aliikuta nchi salama haina udini, mshaurini aongoze na aje aiache ikiwa salama vilevile.

10. yote katika yote, sisi wakristo huwa hatupigani kwa majambia, mitutu na mikuki, tunapigana kwenye magoti, kwa maombi, tutamwomba Mungu na hakimu wa kweli atatoa jibu la kinini smaia anazuia waumini wa ufufuo na uzima wasiabudu; kwamba kwa sababu kanisa moja la dsm limekosea basi makanisa yooote nchi nzima 2000 yafungwe, msikiti mmoja ukikosea anaweza kuzuia misikiti mingine nchi yote? au ni kwasababu hili ni kanisa na yeye ni muislam? nia yake ni kufuta ukristo au nini? anafikiri ataweza? kama wayahudi walishindwa ataweza yeye?
 
Yule mtu anawachukia sana wakristo
Na anawapenda sana waarabu
Namuonya asitujaribu maponjori
 
Tusitake kupamba lugha. Sasa iko wazi kwamba Ukristu unachukiwa na viongozi wakuu wa nchi hii. Tumeanza na kupiga vita vyama vya kisiasa vinavyoongozwa na wakristu na kuinua kwa amkusudi vinavyoongozwa na waislam.

Sasa Utakuwa wa CCM, na upinzani utakuwa wa ACT na CHAUMMA.

Makanisa yanafutwa bila sababu ya msingi. Vurugu zilizosadikiwa kusababishwa na mahubiri ya kisslam, mkono wa sheria uliishia kwa watu binafsi waliohusika, lakini kwa ukristu tunasikia kanisa zima linafutwa. Tuendelee kuona mgawanyiko huu ambao sasa umeonesha sura halisi ya dini.
Udini siku zote huongozwa na mawazo ya kibinafsi. Mimi mkristo tena mkatoliki , sikubaliani na hoja ya mleta mada kwamba ukristo unaonewa, ni upuuzi mtupu kuamini hivi.

Tunashindwa kutazama wazo pana la mengi yanayopangwa kwenye mipango ya kiserikali na tunakimbilia udini kwa hoja dhaifu sana.

Wakristo tulisema waarabu wanaoichukua nchi kisa DP World kapewa tenda ya kuendesha bandari kwa miaka 20, kinachoendelea muda huu ni kinyume kabisa na mawazo yale yaliyofilisika.

Kuna makampuni makubwa mawili yanayoendesha bandari yetu ya Dar na ni ruhusa kwa makampuni yoyote yawe ya ndani au ya nje kuendesha bandari zenu nyingine zilizobakia ikiwemo ya Bagamoyo ambayo tender imeshatangazwa.

Kusema wakristo wanaonewa ni kukosa cha maana cha kujadili na pia ni kujificha nyuma ya chuki ya chini kwa chini dhidi ya awamu ya SSH.

Eti nchi imeuzwa kwa waarabu!, kipindi cha Mkapa na Magufuli haikuuzwa kwa wazungu?, upuuzi mtupu.
 
Naamini unajisingizia Ukatoliki. Ni vigumu mkatoliki kuwa na uwezo mdogo wa uelewa kama wewe.

Unahamisha mgogoro na kuanza mambo ya DP! DP walipoahidi ujenzi wa misikiti kwa pesa za CSR, uliuliza kwa nini hawajengi Makanisa? Inaruhusiwa hiyo?

Hapa tunajadili Makanisa kufungwa wakati Misikiti yenye vurugu kuliko hata makanisa haifungwi. Au hukufahamu nini kilitokea Mwembechai? Tena nasikia rais mstaafu alikuwemo msikitini, akatimua mbio.

Tunajdaili vyama vyote vya upinzani sasa vinakuwa na mlengo wa kidini na kuunga mkono rais, siyo CCM. TUsidanganyane CHAUMA na ACT wanaunga mkono Samia, siyo CCM.
 
Mimi mkatoliki mkongwe, ni mwanachama wa ushirika wa moyo mtakatifu wa Yesu, ni kindakindaki mwenye kuujua ukatoliki.

Kuungwa mkono mgombea wa CCM haijaanza jana wala juzi, Magufuli mkatoliki aliungwa mkono pia na hao (wagombea) wa vyama vya upinzani.

Hakuna kanisa lililofungwa kama umeisoma taarifa mpya iliyotoka serikalini leo hii. Kanisa lina haki ya kufanya ibada sawa na taasisi nyinginezo za kidini.

Napinga kwamba Samia na serikali yake wanaendekeza uislam, kumbuka kuwa mwaka juzi Samia alikwenda Vatican akaonana na hayati Papa, ukatoliki hauwezi kuzuilika kwenye siasa za ndani za Tanzania.

Inawezekana DP World hawakuuombwa kujenga makanisa nina uhakika wangeombwa wangefanya hivyo.
 
Yaonekana wengi tunashiriki mijadala kwa uelewa mdogo sana! Wewe ni mmoja wao. Umeulizwa juu ya DP world na CSR ya kujen ga misikiti, wewe unasema maombi. CSR haitolewi kwa maombi. Naona unanyanyasika bila kujitambua ktk nchi yako.
 
Mimi mkatoliki mkongwe, ni mwanachama wa ushirika wa moyo mtakatifu wa Yesu, ni kindakindaki mwenye kuujua ukatoliki.

Kuungwa mkono mgombea wa CCM haijaanza jana wala juzi, Magufuli mkatoliki aliungwa mkono pia na hao (wagombea) wa vyama vya upinzani.

Hakuna kanisa lililofungwa kama umeisoma taarifa mpya iliyotoka serikalini leo hii. Kanisa lina haki ya kufanya ibada sawa na taasisi nyinginezo za kidini.

Napinga kwamba Samia na serikali yake wanaendekeza uislam, kumbuka kuwa mwaka juzi Samia alikwenda Vatican akaonana na hayati Papa, ukatoliki hauwezi kuzuilika kwenye siasa za ndani za Tanzania.

Inawezekana DP World hawakuuombwa kujenga makanisa nina uhakika wangeombwa wangefanya hivyo.
We jamaa bure sana! Hata hujui unachoeleza. pesa ya CSR inatolewa kwa maamuzi ya DP world? Kama ni hivyo waondoke kwenye investment za serikali, waingie kuinua uislam, basi!
 
Unaujua mchango wao kwenye bajeti ya nchi hii tangu wamepewa nafasi ya kuendesha bandari ile?.

CSR ni pesa ndogo sana kulinganisha na mengi ya kitaalam ambayo yameongezeka tangu DPW aanze kuendesha bandari yetu.

Tunakosea kumuweka karibu SSH na masuala ya kidini, ni rais wa nchi anawahudumia mamilioni ya waislam na wakristo wa madhehebu mbalimbali.

Unajua ni kwa kiasi gani ongezeko la kodi lililoletwa na utendaji wa hao waarabu wa DPW limeweza kuchangia katika kuboresha maslahi ya taasisi za kikristo na za kiislam?.
 
Naomba tu uamini kwamba una uwezo mdogo. Hujui hata mapato ya nchi yanatoka wapi.
 
Kuna clip moja kwenye bunge la zanzibar jamaa kasimama anaponda aina ya samaki wanaotaka bara yaani kambale,sato,sangala...eti kwao zanzibar hawatakiwi yalivyo mabaguzi utadhani huko wanaishi peke yao.Kuna nguvu ya ibilisi kiasi kwamba haya yanaonekana ya kawaida,wapemba wamejaa bara freely lakini kwao ni matamko ya kibaguzi yapuuzeni ila hayana afya kwa taifa.
Ni mapumbavu sana yana IQ ndogo
 
Naomba tu uamini kwamba una uwezo mdogo. Hujui hata mapato ya nchi yanatoka wapi.
Bandari ina mchango mkubwa sana, na haijalishi uwezo wa kuelewa ni mkubwa au mdogo.

Samia kafanya makubwa kuliko marais wote watano waliomtangulia, tatizo la urais wake ni jinsia yake na dini.
 
Nasikia Mahakama inajidai kusema kanisa halikufungiwa lakini kila J'pili, polisi wanatumwa kupiga watu wanaokwenda kusali. Uislamu haujawahi kupitia haya.
 
Hebu nawe tumia akili bhana!
Makubwa maana yake ni nini? Kipimo gani unacvhoita makubwa? Au hayo ya kupiga watu kanisani ndo makubwa?

OK! Nasikia anajenga kiwanda binafsi cha Tumbaku Morogoro kwa pesa za serikali, hayo ndo makubwa, eti!
 
Back
Top Bottom