MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Chuki zao wabaki nazo huko huko sisi wananchi hatutaki mambo ya ajabu ajabu. Kesho iddi tunaalikana mapilau na masoda waambieni waje wajifunze upendo kwa wananchi.Tusitake kupamba lugha. Sasa iko wazi kwamba Ukristu unachukiwa na viongozi wakuu wa nchi hii. Tumeanza na kupiga vita vyama vya kisiasa vinavyoongozwa na wakristu na kuinua kwa amkusudi vinavyoongozwa na waislam.
Sasa Utakuwa wa CCM, na upinzani utakuwa wa ACT na CHAUMMA.
Makanisa yanafutwa bila sababu ya msingi. Vurugu zilizosadikiwa kusababishwa na mahubiri ya kisslam, mkono wa sheria uliishia kwa watu binafsi waliohusika, lakini kwa ukristu tunasikia kanisa zima linafutwa. Tuendelee kuona mgawanyiko huu ambao sasa umeonesha sura halisi ya dini.
shehe ponda mchezesha karate na kundecha wanajulikana ni magaidi na aliyeanza kuwashughulikia ni muislam kikwete, wala usilete mfano wake. kesi zote za magaidi nchini ni vijana wa ponda na kundecha, ndio wanawaita amiri wao.Kweli:
1. CCM M/kiti: Mwislamu
2. CHAUMA M/kiti: Mwislamu
3. ACT M/kiti: Mwislamu
Miaka ya mzee Rukhsa! Mwembechai tulishuhudia ikiwa ni kitovu cha kutoheshimu serikali. Misikiti Dar ilijaa kashfa kwa serikali. Kwamtoro waumini wakala kichapo. Lakini hatukusikia etu Uislamu umefutwa nchini.
Issa Ponda na wale Masheikh wa uamsho vipi? Mbona serikali ilihangaika na wao kama watu binafsi? Au sababu imepatikana ya kupambana na Ukristu?
Siku ikitokea atakaye fuata ataomba msamaha yatapitaTusitake kupamba lugha. Sasa iko wazi kwamba Ukristu unachukiwa na viongozi wakuu wa nchi hii. Tumeanza na kupiga vita vyama vya kisiasa vinavyoongozwa na wakristu na kuinua kwa amkusudi vinavyoongozwa na waislam.
Sasa Utakuwa wa CCM, na upinzani utakuwa wa ACT na CHAUMMA.
Makanisa yanafutwa bila sababu ya msingi. Vurugu zilizosadikiwa kusababishwa na mahubiri ya kisslam, mkono wa sheria uliishia kwa watu binafsi waliohusika, lakini kwa ukristu tunasikia kanisa zima linafutwa. Tuendelee kuona mgawanyiko huu ambao sasa umeonesha sura halisi ya dini.
Nasikia hata yeye anajiita mwarabu, inagawa nikiangalia pua, dah!Yule mtu anawachukia sana wakristo
Na anawapenda sana waarabu
Namuonya asitujaribu maponjori
Udini siku zote huongozwa na mawazo ya kibinafsi. Mimi mkristo tena mkatoliki , sikubaliani na hoja ya mleta mada kwamba ukristo unaonewa, ni upuuzi mtupu kuamini hivi.Tusitake kupamba lugha. Sasa iko wazi kwamba Ukristu unachukiwa na viongozi wakuu wa nchi hii. Tumeanza na kupiga vita vyama vya kisiasa vinavyoongozwa na wakristu na kuinua kwa amkusudi vinavyoongozwa na waislam.
Sasa Utakuwa wa CCM, na upinzani utakuwa wa ACT na CHAUMMA.
Makanisa yanafutwa bila sababu ya msingi. Vurugu zilizosadikiwa kusababishwa na mahubiri ya kisslam, mkono wa sheria uliishia kwa watu binafsi waliohusika, lakini kwa ukristu tunasikia kanisa zima linafutwa. Tuendelee kuona mgawanyiko huu ambao sasa umeonesha sura halisi ya dini.
Naamini unajisingizia Ukatoliki. Ni vigumu mkatoliki kuwa na uwezo mdogo wa uelewa kama wewe.Udini siku zote huongozwa na mawazo ya kibinafsi. Mimi mkristo tena mkatoliki , sikubaliani na hoja ya mleta mada kwamba ukristo unaonewa, ni upuuzi mtupu kuamini hivi.
Tunashindwa kutazama wazo pana la mengi yanayopangwa kwenye mipango ya kiserikali na tunakimbilia udini kwa hoja dhaifu sana.
Wakristo tulisema waarabu wanaoichukua nchi kisa DP World kapewa tenda ya kuendesha bandari kwa miaka 20, kinachoendelea muda huu ni kinyume kabisa na mawazo yale yaliyofilisika.
Kuna makampuni makubwa mawili yanayoendesha bandari yetu ya Dar na ni ruhusa kwa makampuni yoyote yawe ya ndani au ya nje kuendesha bandari zenu nyingine zilizobakia ikiwemo ya Bagamoyo ambayo tender imeshatangazwa.
Kusema wakristo wanaonewa ni kukosa cha maana cha kujadili na pia ni kujificha nyuma ya chuki ya chini kwa chini dhidi ya awamu ya SSH.
Eti nchi imeuzwa kwa waarabu!, kipindi cha Mkapa na Magufuli haikuuzwa kwa wazungu?, upuuzi mtupu.
Mimi mkatoliki mkongwe, ni mwanachama wa ushirika wa moyo mtakatifu wa Yesu, ni kindakindaki mwenye kuujua ukatoliki.Naamini unajisingizia Ukatoliki. Ni vigumu mkatoliki kuwa na uwezo mdogo wa uelewa kama wewe.
Unahamisha mgogoro na kuanza mambo ya DP! DP walipoahidi ujenzi wa misikiti kwa pesa za CSR, uliuliza kwa nini hawajengi Makanisa? Inaruhusiwa hiyo?
Hapa tunajadili Makanisa kufungwa wakati Misikiti yenye vurugu kuliko hata makanisa haifungwi. Au hukufahamu nini kilitokea Mwembechai? Tena nasikia rais mstaafu alikuwemo msikitini, akatimua mbio.
Tunajdaili vyama vyote vya upinzani sasa vinakuwa na mlengo wa kidini na kuunga mkono rais, siyo CCM. TUsidanganyane CHAUMA na ACT wanaunga mkono Samia, siyo CCM.
Yaonekana wengi tunashiriki mijadala kwa uelewa mdogo sana! Wewe ni mmoja wao. Umeulizwa juu ya DP world na CSR ya kujen ga misikiti, wewe unasema maombi. CSR haitolewi kwa maombi. Naona unanyanyasika bila kujitambua ktk nchi yako.Mimi mkatoliki mkongwe, ni mwanachama wa ushirika wa moyo mtakatifu wa Yesu, ni kindakindaki mwenye kuujua ukatoliki.
Kuungwa mkono mgombea wa CCM haijaanza jana wala juzi, Magufuli mkatoliki aliungwa mkono pia na hao (wagombea) wa vyama vya upinzani.
Hakuna kanisa lililofungwa kama umeisoma taarifa mpya iliyotoka serikalini leo hii. Kanisa lina haki ya kufanya ibada sawa na taasisi nyinginezo za kidini.
Napinga kwamba Samia na serikali yake wanaendekeza uislam, kumbuka kuwa mwaka juzi Samia alikwenda Vatican akaonana na hayati Papa, ukatoliki hauwezi kuzuilika kwenye siasa za ndani za Tanzania.
Inawezekana DP World hawakuuombwa kujenga makanisa nina uhakika wangeombwa wangefanya hivyo.
We jamaa bure sana! Hata hujui unachoeleza. pesa ya CSR inatolewa kwa maamuzi ya DP world? Kama ni hivyo waondoke kwenye investment za serikali, waingie kuinua uislam, basi!Mimi mkatoliki mkongwe, ni mwanachama wa ushirika wa moyo mtakatifu wa Yesu, ni kindakindaki mwenye kuujua ukatoliki.
Kuungwa mkono mgombea wa CCM haijaanza jana wala juzi, Magufuli mkatoliki aliungwa mkono pia na hao (wagombea) wa vyama vya upinzani.
Hakuna kanisa lililofungwa kama umeisoma taarifa mpya iliyotoka serikalini leo hii. Kanisa lina haki ya kufanya ibada sawa na taasisi nyinginezo za kidini.
Napinga kwamba Samia na serikali yake wanaendekeza uislam, kumbuka kuwa mwaka juzi Samia alikwenda Vatican akaonana na hayati Papa, ukatoliki hauwezi kuzuilika kwenye siasa za ndani za Tanzania.
Inawezekana DP World hawakuuombwa kujenga makanisa nina uhakika wangeombwa wangefanya hivyo.
Unaujua mchango wao kwenye bajeti ya nchi hii tangu wamepewa nafasi ya kuendesha bandari ile?.We jamaa bure sana! Hata hujui unachoeleza. pesa ya CSR inatolewa kwa maamuzi ya DP world? Kama ni hivyo waondoke kwenye investment za serikali, waingie kuinua uislam, basi!
Naomba tu uamini kwamba una uwezo mdogo. Hujui hata mapato ya nchi yanatoka wapi.Unaujua mchango wao kwenye bajeti ya nchi hii tangu wamepewa nafasi ya kuendesha bandari ile?.
CSR ni pesa ndogo sana kulinganisha na mengi ya kitaalam ambayo yameongezeka tangu DPW aanze kuendesha bandari yetu.
Tunakosea kumuweka karibu SSH na masuala ya kidini, ni rais wa nchi anawahudumia mamilioni ya waislam na wakristo wa madhehebu mbalimbali.
Unajua ni kwa kiasi gani ongezeko la kodi lililoletwa na utendaji wa hao waarabu wa DPW limeweza kuchangia katika kuboresha maslahi ya taasisi za kikristo na za kiislam?.
Ni mapumbavu sana yana IQ ndogoKuna clip moja kwenye bunge la zanzibar jamaa kasimama anaponda aina ya samaki wanaotaka bara yaani kambale,sato,sangala...eti kwao zanzibar hawatakiwi yalivyo mabaguzi utadhani huko wanaishi peke yao.Kuna nguvu ya ibilisi kiasi kwamba haya yanaonekana ya kawaida,wapemba wamejaa bara freely lakini kwao ni matamko ya kibaguzi yapuuzeni ila hayana afya kwa taifa.
Bandari ina mchango mkubwa sana, na haijalishi uwezo wa kuelewa ni mkubwa au mdogo.Naomba tu uamini kwamba una uwezo mdogo. Hujui hata mapato ya nchi yanatoka wapi.
Ulipitia haya uislam mwaka 1993 pale Magomeni Mwembechai wakati wa zile vurugu, Rais akiwa ni hayati Mzee Mwinyi.Nasikia Mahakama inajidai kusema kanisa halikufungiwa lakini kila J'pili, polisi wanatumwa kupiga watu wanaokwenda kusali. Uislamu haujawahi kupitia haya.
View attachment 3389158