Kuna dawa kweli ya kuongeza makalio au ni dhihaka kwa wadada?

Hivi ni kweli kuna dawa za kuongeza makalio? Au ni dhihaka tu kwa wadada?

Leo tumalize huu upuuzi, kama kuna dawa ya kuongeza makalio iwekeni hapa tujue.

Lengo ni kujua kama ninaweza kui apply kwenye miguu yangu niwe na miguu ya bia, 😀😛
Ridhika tu na miguu yako, msije pata makansa ya miguu bure.

Huwe unavaa magauni marefu kama unahiofia sana Miguu yako.
 
Hivi ni kweli kuna dawa za kuongeza makalio? Au ni dhihaka tu kwa wadada?

Leo tumalize huu upuuzi, kama kuna dawa ya kuongeza makalio iwekeni hapa tujue.

Lengo ni kujua kama ninaweza kui apply kwenye miguu yangu niwe na miguu ya bia, 😀😛
iache hiyo hiyo miguu ya miwa tutatengenezea pombe.
 
Back
Top Bottom