RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Mhhh ina maana naweza kuwa mkweo?Hapana ni kabinti kangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh ina maana naweza kuwa mkweo?Hapana ni kabinti kangu
dirt mind.....squat not squirt!Haha nilifikiri unamaanisha squatting ule yakurusha majii
Hahhahahah...kabisaaa ila ngoja kwanza kamalize shule!Mhhh ina maana naweza kuwa mkweo?
Ooops my bad! Muache amalize chuo kabisa....nakaa mbali!Hahhahahah...kabisaaa ila ngoja kwanza kamalize shule!
Hapo umenifurahisha aisehhOoops my bad! Muache amalize chuo kabisa....nakaa mbali!
Nachukia sana watu wanaoharibu watoto.Hapo umenifurahisha aisehh
Yaani walaaniwe kabisa...Nachukia sana watu wanaoharibu watoto.
Ridhika tu na miguu yako, msije pata makansa ya miguu bure.Hivi ni kweli kuna dawa za kuongeza makalio? Au ni dhihaka tu kwa wadada?
Leo tumalize huu upuuzi, kama kuna dawa ya kuongeza makalio iwekeni hapa tujue.
Lengo ni kujua kama ninaweza kui apply kwenye miguu yangu niwe na miguu ya bia, 😀😛
Hadi sponji?, Kweli wanawake wana kazi, yote hiyo ni kumfurahisha kiumbe adimu Mwanaume.Surgery yes zinafanyika...
Sponge yes zinavaliwa...
Sindano yes wanachomwa...
Dawa za kupaka sijui...
Cc: mahondaw
iache hiyo hiyo miguu ya miwa tutatengenezea pombe.Hivi ni kweli kuna dawa za kuongeza makalio? Au ni dhihaka tu kwa wadada?
Leo tumalize huu upuuzi, kama kuna dawa ya kuongeza makalio iwekeni hapa tujue.
Lengo ni kujua kama ninaweza kui apply kwenye miguu yangu niwe na miguu ya bia, 😀😛