Kuna dawa za kuzuia ndevu kuota?

Pole sis wamasai wanazo dawa za aina hiii, hebu cheki nao.

Bt ogopa matapeli....
 
Pm
 
Mbona mwanamke Mwenye ndevu wanakuwaga na kismati cha hatari ww ziache bhana
 
ukipata dawa nambie na mimi
 
Usihangaike kutafuta solution ya kuziondoa hizo ndevu. Kuna wanaume tunapenda wanawake wenye ndevu. Shauri yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…