20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Pole sis wamasai wanazo dawa za aina hiii, hebu cheki nao.Kama nilivyojieleza mi ni binti wa miaka 24 nimepata tatizo la kupata ndevu kiukweli linanikosesha Amani nahitaji mtu anayejua dawa anisaidie kuna mtu alinishauri kufanya laser hair treatment lakini nimeshindwa sababu ni mpaka nje ya nchi na ukizingatia mi mwanafunzi wa chuo so itanikosesha nafasi matibabu yake yanachukua mpaka session nane au kumi na hufanyika kila baada ya mwezi kwa hiyo isingekuwa rahisi kupata mda so plz kwa mtu anajua dawa anisaidie au hata mtu anayetibu anidirect ila iwe nchini
Bt ogopa matapeli....