Charlez kanumba
Senior Member
- Nov 2, 2024
- 187
- 501
Atakuwa flat screen, wenye makalio makubwa huwa hawaangalii watu maana kila wakipita wanaangaliwa sana na hawawezi kugeuka kuangalia watu.Ni mtoto mzuri wa kishua, kila akiniona ananitazama sana kisha anatabasamu, mara ang'ate vidole kila akiniona,...Hii ishara ya kunitizama sana inanichanganya najiuliza je atakuwa kanipenda? Je kipi kinafanya aniangalie sana?..
Wa hivi kama mleta mada hua sio Classmate wako Mkuu?Hii December tutashuhudia mengi wallah..😑