Kuna demu anapenda sana kuniangalia, je atakuwa ananipenda?

Mitoto kama nyie huku Gongo la MBOTO tunawatafuta na tukiwapata tuna achapa weeeeh mpaka mkome
 
Ukute anashangaa ndevu zako hazina mpangilio
 
Ni mtoto mzuri wa kishua, kila akiniona ananitazama sana kisha anatabasamu, mara ang'ate vidole kila akiniona,...Hii ishara ya kunitizama sana inanichanganya najiuliza je atakuwa kanipenda? Je kipi kinafanya aniangalie sana?..
Kumbuka siku ulipompora mkufu wake wa dhahabu ukakimbia, yeye anakukumbuka na kuapiza angekuwa na nguvu ungemtambua.
 
Anashangaa inawezekanaje kijana kama wewe unasubiri kuimbishwa mistari na demu.
 
Ni mtoto mzuri wa kishua, kila akiniona ananitazama sana kisha anatabasamu, mara ang'ate vidole kila akiniona,...Hii ishara ya kunitizama sana inanichanganya najiuliza je atakuwa kanipenda? Je kipi kinafanya aniangalie sana?..
Mbona ni rahisi tu kujua, muulize yeye mwenyewe sisi hatuwezi kumjibia, sawa sawa?
 
Kuwa makini dogo, demu anakulishia ujiMIXX uliwe YAS
1000019932.jpg
 
Ni mtoto mzuri wa kishua, kila akiniona ananitazama sana kisha anatabasamu, mara ang'ate vidole kila akiniona,...Hii ishara ya kunitizama sana inanichanganya najiuliza je atakuwa kanipenda? Je kipi kinafanya aniangalie sana?..
UKIMWI UPO
take care‼️‼️‼️
 
Back
Top Bottom