Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Yaani huyu demu nilitaka kumuacha ghafla akaniwahi aisee ananiambia tuachane nifanyeje
Yaani Kila nikimuona anajifanya mjanja mwenyewe naona anajisifia kwa rafiki zake eti kaniacha aisee mbinu Gani nimrudie au nikachane nae nisiwe na time naye he anaweza kuumia sababu kwao ni njia ninayopitia kwenda kazini au nimpige tukio gani