Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #21
20Ana umri gan?
20Ana umri gan?
Sio kweli yaani hapa inabidi nifanye kituNdio umesha achwa tayari..... Tulia tu..... 🤣
Sawa kakaachana nae, kubali na kama amekuandikia sms mwambie "sawa" usiongeze neno.
Utaanza kuumia wewe lakini ukipona nae ataanza kupitia hali uliyopitia. Man up.
Kibunda tu, weka kibunda mezani anarudi unapiga unampa kibunda unamwambia haya sasa rasmi tumeachana nishatumia sana hio mbinu, ishi kimastaYaani huyu demu nilitaka kumuacha ghafla akaniwahi aisee ananiambia tuachane nifanyeje
Weka kibunda mezani, muite muulize dau lake akitaja mwekee mezani kamata gonga ukimaliza mpe kibunda chake, baada ya hapo mwambie sasa tumeachana rasmi kila mtu apite na njia yake unakua umemaliza mchezo ni simple ishi kimasta kongfuu nyingiSio kweli yaani hapa inabidi nifanye kitu
Aisee mzee hapo ndio nilipofeli kusubirisubiriUlifeli kwenye reaction, kuna namna ulitakiwa u react pale aliposema tuachane, angejisikia hovyo sana, ila kama ulihamaki ukamuuliza mara 2 mbili , kweli are you serious kijasho kikakutoka ushapotezq point 3 game ya nyumban
Mwigulu ni serikaliHii issue imekaa kiserikal, ipeleke kwa Mwigulu mwenyewe
Basi peleka kwa Mwamposa ukaliwe sadakaMwigulu ni serikali
Zingatia madaBasi peleka kwa Mwamposa ukaliwe sadaka
Sio kwamba namtaka ila ananiharibia CV eti kaniacha wakati Mimi sijawahi kuachwa na demu huwa na waacha mapema sana huyu sijui ilikuaje wakati nikiona red flagHayo ni mambo ya kitoto,kama amesema tuachane ni vyema ukajikita na shughuli zako.
Mnaonekana bado hamjakomaa
Hiyo ni mada au upuuzi tuZingatia mada
OkayHiyo ni mada au upuuzi tu
DuuhKwanini ushindane!, hayo yatakuwa ni mashindano ya kitoto, hayana Faida yoyote.