Kuna diary zangu niliziandika kwa mda wa miezi sita mwaka 2022 nilikuja kuzichoma moto

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Leo asubuhi niliandika uzi kuhusu maisha yangu wako waliosifia, wako walioponda na wako waliosoma tu hawakutoa maoni yeyote - Point ni tulidiscuss na moderator tukakubalian ule uzi ufutwe ili ku-comply na sheria za jamiiforum za kulinda privacy ila nachoshukuru mimi ni mshindi

Mwaka 2022 niliandilka diary na ndani ya hizo diary kulikuwa na idea zote controversial ambazo sipo huku kama kutengeneza Artificial ozone layer, blackholes, predict protein mutation, hakuna magnetic field bali ile extension ya ozone layer (hii bado sijautolea uzi), mapungufu ya schrodinger quantum mechanics na formula mpya ya quantum mechanics, (hii bado sijatolea uzi), new formula ya electromagnetism (hii bado sijatolea uzi), haya ni baadhi

Zile diary nilizifuta sababu hata mimi nilikuwa naziogopa nimeandika mimi ila yale maandishi au maneno ndani ya diary sio ya kawaida hata kidogo na kama watu wangeona basi inge-corrupt soul (nafsi) na akili za watu kwa usalama wa jamii ya binadamu niliamua kuzichoma moto
 
Prof. Dennis Robert McShughuru
Leonardo Denninci
Sir Dennis Shughuruton

Mwanasayansi mahiri, mwanamazingaombwe,mbobezi,mwanazuoni,mtaalam!
Mhe rais unaupiga mwingi mitano tena, chochote utakachosema kura yangu umeshapata.
 
nakumbuka pale milembe tulikuwa tumelazwa vitanda vinavyotazamana......kumbe ndo hali yako ilikuwa iv....? your deep but it might be in shallow water"
 
Leo asubuhi niliandika uzi kuhusu maisha yangu wako waliosifia, wako walioponda na wako waliosoma tu hawakutoa maoni yeyote - Point ni tulidiscuss na moderator tukakubalian ule uzi ufutwe ili ku-comply na sheria za jamiiforum za kulinda privacy ila nachoshukuru mimi ni mshindi

Mwaka 2022 niliandilka diary na ndani ya hizo diary kulikuwa na idea zote controversial ambazo sipo huku kama kutengeneza Artificial ozone layer, blackholes, predict protein mutation, hakuna magnetic field bali ile extension ya ozone layer (hii bado sijautolea uzi), mapungufu ya schrodinger quantum mechanics na formula mpya ya quantum mechanics, (hii bado sijatolea uzi), new formula ya electromagnetism (hii bado sijatolea uzi), haya ni baadhi

Zile diary nilizifuta sababu hata mimi nilikuwa naziogopa nimeandika mimi ila yale maandishi au maneno ndani ya diary sio ya kawaida hata kidogo na kama watu wangeona basi inge-corrupt soul (nafsi) na akili za watu kwa usalama wa jamii ya binadamu niliamua kuzichoma moto
Mkuu una ma idea mazito sana natamani kama tukae siku moja nikupe idea zangu ujaribu kuzi jazia uzito ili ziweze kuleta matokeo chanya kwenye jamii.
 
Prof. Dennis Robert McShughuru
Leonardo Denninci
Sir Dennis Shughuruton

Mwanasayansi mahiri, mwanamazingaombwe,mbobezi,mwanazuoni,mtaalam!
Mhe rais unaupiga mwingi mitano tena, chochote utakachosema kura yangu umeshapata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
D
Leo asubuhi niliandika uzi kuhusu maisha yangu wako waliosifia, wako walioponda na wako waliosoma tu hawakutoa maoni yeyote - Point ni tulidiscuss na moderator tukakubalian ule uzi ufutwe ili ku-comply na sheria za jamiiforum za kulinda privacy ila nachoshukuru mimi ni mshindi

Mwaka 2022 niliandilka diary na ndani ya hizo diary kulikuwa na idea zote controversial ambazo sipo huku kama kutengeneza Artificial ozone layer, blackholes, predict protein mutation, hakuna magnetic field bali ile extension ya ozone layer (hii bado sijautolea uzi), mapungufu ya schrodinger quantum mechanics na formula mpya ya quantum mechanics, (hii bado sijatolea uzi), new formula ya electromagnetism (hii bado sijatolea uzi), haya ni baadhi

Zile diary nilizifuta sababu hata mimi nilikuwa naziogopa nimeandika mimi ila yale maandishi au maneno ndani ya diary sio ya kawaida hata kidogo na kama watu wangeona basi inge-corrupt soul (nafsi) na akili za watu kwa usalama wa jamii ya binadamu niliamua kuzichoma moto
uh... Sasa Na kina Elon Musk wangechoma moto za kwaio Leo tusinge kuwa hapa kiteknolojia. Kwani Kuna wake wabeba maono. Na Labda wewe Ni mmojawapo
 
Naona DON NALIMISON NALIM amefufuka tena! 😁😁 hongeraaaa
 
D

uh... Sasa Na kina Elon Musk wangechoma moto za kwaio Leo tusinge kuwa hapa kiteknolojia. Kwani Kuna wake wabeba maono. Na Labda wewe Ni mmojawapo
Uzi wa Artificial ozone layer upo huku jamiiforums
Uzi wa solar system ziko sayari tano upo huku jamiiforums
Uzi wa namna ya kutengeneza dawa upo huku jamiiforums
 
Back
Top Bottom