Kuna diary zangu niliziandika kwa mda wa miezi sita mwaka 2022 nilikuja kuzichoma moto

Mh. Rais mpaka sasa kura yangu umeshapata. Hao wanaokupiga vita tutawaonyesha kwa vitendo.. Be strong
 
Leo asubuhi niliandika uzi kuhusu maisha yangu wako waliosifia, wako walioponda na wako waliosoma tu hawakutoa maoni yeyote - Point ni tulidiscuss na moderator tukakubalian ule uzi ufutwe ili ku-comply na sheria za jamiiforum za kulinda privacy ila nachoshukuru mimi ni mshindi

Mwaka 2022 niliandilka diary na ndani ya hizo diary kulikuwa na idea zote controversial ambazo sipo huku kama kutengeneza Artificial ozone layer, blackholes, predict protein mutation, hakuna magnetic field bali ile extension ya ozone layer (hii bado sijautolea uzi), mapungufu ya schrodinger quantum mechanics na formula mpya ya quantum mechanics, (hii bado sijatolea uzi), new formula ya electromagnetism (hii bado sijatolea uzi), haya ni baadhi

Zile diary nilizifuta sababu hata mimi nilikuwa naziogopa nimeandika mimi ila yale maandishi au maneno ndani ya diary sio ya kawaida hata kidogo na kama watu wangeona basi inge-corrupt soul (nafsi) na akili za watu kwa usalama wa jamii ya binadamu niliamua kuzichoma moto
Video?
 
Kilichosababisha uzichome moto ni baada ya kuziprove practically au theoritically, ninamaanisha ziandike upya kisha uzireport sababu hujamaliza all scientific procedures.

be aware of ware where underwear weared because it made your existence
 
Nimeshaziandikia nyuzi zake baadhi ya mambo yaliyokuwepo kwenye hizo diary
 
Back
Top Bottom