Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Pamoja sanaProf. Dennis Robert McShughuru
Leonardo Denninci
Sir Dennis Shughuruton
Mwanasayansi mahiri, mwanamazingaombwe,mbobezi,mwanazuoni,mtaalam!
Mhe rais unaupiga mwingi mitano tena, chochote utakachosema kura yangu umeshapata.
nakumbuka pale milembe tulikuwa tumelazwa vitanda vinavyotazamana......kumbe ndo hali yako ilikuwa iv....? your deep but it might be in shallow water"Leo asubuhi niliandika uzi kuhusu maisha yangu wako waliosifia, wako walioponda na wako waliosoma tu hawakutoa maoni yeyote - Point ni tulidiscuss na moderator tukakubalian ule uzi ufutwe ili ku-comply na sheria za jamiiforum za kulinda privacy ila nachoshukuru mimi ni mshindi
Mwaka 2022 niliandilka diary na ndani ya hizo diary kulikuwa na idea zote controversial ambazo sipo huku kama kutengeneza Artificial ozone layer, blackholes, predict protein mutation, hakuna magnetic field bali ile extension ya ozone layer (hii bado sijautolea uzi), mapungufu ya schrodinger quantum mechanics na formula mpya ya quantum mechanics, (hii bado sijatolea uzi), new formula ya electromagnetism (hii bado sijatolea uzi), haya ni baadhi
Zile diary nilizifuta sababu hata mimi nilikuwa naziogopa nimeandika mimi ila yale maandishi au maneno ndani ya diary sio ya kawaida hata kidogo na kama watu wangeona basi inge-corrupt soul (nafsi) na akili za watu kwa usalama wa jamii ya binadamu niliamua kuzichoma moto
Mkuu una ma idea mazito sana natamani kama tukae siku moja nikupe idea zangu ujaribu kuzi jazia uzito ili ziweze kuleta matokeo chanya kwenye jamii.Leo asubuhi niliandika uzi kuhusu maisha yangu wako waliosifia, wako walioponda na wako waliosoma tu hawakutoa maoni yeyote - Point ni tulidiscuss na moderator tukakubalian ule uzi ufutwe ili ku-comply na sheria za jamiiforum za kulinda privacy ila nachoshukuru mimi ni mshindi
Mwaka 2022 niliandilka diary na ndani ya hizo diary kulikuwa na idea zote controversial ambazo sipo huku kama kutengeneza Artificial ozone layer, blackholes, predict protein mutation, hakuna magnetic field bali ile extension ya ozone layer (hii bado sijautolea uzi), mapungufu ya schrodinger quantum mechanics na formula mpya ya quantum mechanics, (hii bado sijatolea uzi), new formula ya electromagnetism (hii bado sijatolea uzi), haya ni baadhi
Zile diary nilizifuta sababu hata mimi nilikuwa naziogopa nimeandika mimi ila yale maandishi au maneno ndani ya diary sio ya kawaida hata kidogo na kama watu wangeona basi inge-corrupt soul (nafsi) na akili za watu kwa usalama wa jamii ya binadamu niliamua kuzichoma moto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Prof. Dennis Robert McShughuru
Leonardo Denninci
Sir Dennis Shughuruton
Mwanasayansi mahiri, mwanamazingaombwe,mbobezi,mwanazuoni,mtaalam!
Mhe rais unaupiga mwingi mitano tena, chochote utakachosema kura yangu umeshapata.
Watu wanampigia hela huyu, akina meku mchezoo.Huyu dogo anaonekana Yuko na shida ya afya ya akili,au huenda ana IQ kubwa kiasi kwamba haeleweki.
Ana IQ kubwa sanaaHuyu dogo anaonekana Yuko na shida ya afya ya akili,au huenda ana IQ kubwa kiasi kwamba haeleweki.
uh... Sasa Na kina Elon Musk wangechoma moto za kwaio Leo tusinge kuwa hapa kiteknolojia. Kwani Kuna wake wabeba maono. Na Labda wewe Ni mmojawapoLeo asubuhi niliandika uzi kuhusu maisha yangu wako waliosifia, wako walioponda na wako waliosoma tu hawakutoa maoni yeyote - Point ni tulidiscuss na moderator tukakubalian ule uzi ufutwe ili ku-comply na sheria za jamiiforum za kulinda privacy ila nachoshukuru mimi ni mshindi
Mwaka 2022 niliandilka diary na ndani ya hizo diary kulikuwa na idea zote controversial ambazo sipo huku kama kutengeneza Artificial ozone layer, blackholes, predict protein mutation, hakuna magnetic field bali ile extension ya ozone layer (hii bado sijautolea uzi), mapungufu ya schrodinger quantum mechanics na formula mpya ya quantum mechanics, (hii bado sijatolea uzi), new formula ya electromagnetism (hii bado sijatolea uzi), haya ni baadhi
Zile diary nilizifuta sababu hata mimi nilikuwa naziogopa nimeandika mimi ila yale maandishi au maneno ndani ya diary sio ya kawaida hata kidogo na kama watu wangeona basi inge-corrupt soul (nafsi) na akili za watu kwa usalama wa jamii ya binadamu niliamua kuzichoma moto
Naona DON NALIMISON NALIM amefufuka tena! 😁😁 hongeraaaaLeo asubuhi niliandika uzi kuhusu maisha yangu wako waliosifia, wako walioponda na wako waliosoma tu hawakutoa maoni yeyote - Point ni tulidiscuss na moderator tukakubalian ule uzi ufutwe ili ku-comply na sheria za jamiiforum za kulinda privacy ila nachoshukuru mimi ni mshindi
Mwaka 2022 niliandilka diary na ndani ya hizo diary kulikuwa na idea zote controversial ambazo sipo huku kama kutengeneza Artificial ozone layer, blackholes, predict protein mutation, hakuna magnetic field bali ile extension ya ozone layer (hii bado sijautolea uzi), mapungufu ya schrodinger quantum mechanics na formula mpya ya quantum mechanics, (hii bado sijatolea uzi), new formula ya electromagnetism (hii bado sijatolea uzi), haya ni baadhi
Zile diary nilizifuta sababu hata mimi nilikuwa naziogopa nimeandika mimi ila yale maandishi au maneno ndani ya diary sio ya kawaida hata kidogo na kama watu wangeona basi inge-corrupt soul (nafsi) na akili za watu kwa usalama wa jamii ya binadamu niliamua kuzichoma moto
Mboa nimeshare huku jamiiforum yaani zipo huku jamiiforumsD
uh... Sasa Na kina Elon Musk wangechoma moto za kwaio Leo tusinge kuwa hapa kiteknolojia. Kwani Kuna wake wabeba maono. Na Labda wewe Ni mmojawapo
Uzi wa Artificial ozone layer upo huku jamiiforumsD
uh... Sasa Na kina Elon Musk wangechoma moto za kwaio Leo tusinge kuwa hapa kiteknolojia. Kwani Kuna wake wabeba maono. Na Labda wewe Ni mmojawapo
Hata nikola Tesla aliitwa kichaa , hivyo nikawaida watu wenye akili kubwa kuitwa kichaa katikati ya jamii ya watu wenye akili zakawaida za kutafutia ugali tu🤔Huyu dogo anaonekana Yuko na shida ya afya ya akili,au huenda ana IQ kubwa kiasi kwamba haeleweki.
Ungeziweka tu kama kumbu kumbu huenda wangekuwepo wa kuelewa kwa sasa au hata baadaemapungufu ya schrodinger quantum mechanics na formula mpya ya quantum mechanics, (hii bado sijatolea uzi), new formula ya electromagnetism (hii bado sijatolea uzi), haya ni baadhi
Kwa kichwani najua nilichoandika na ntashare huku jamiiforums ni swala la mdaUngeziweka tu kama kumbu kumbu huenda wangekuwepo wa kuelewa kwa sasa au hata baadae
Nyingine tayari zipo huku jamiiforumsZilete TU share madini!!