Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inazunguka wapi na wapi?Sio kawaida kwa helicopter kuzunguka mara nne ndani ya lisaa kama doria usiku huu . Nimejaribu kujiuliza kama inahusiana na hali ya usalama hasa baada ya lile tamko la kiusalama toka ubalozi wa US maana toka lile tamko nimekua on high alert
Kwani nyie mnaishi wapi🤣🤣🤣🤣🤣Zimepita tatu juu..mbili zimeongozana umbali mfupi..nyingine ikafuatia
Zinaelekea usawa wa huku baharini
Katika Lugha Sanifu ya Kiswahili hakuna Neno Lisaa Limoja bali kuna Neno sahihi la Saa Moja.Sio kawaida kwa helicopter kuzunguka mara nne ndani ya lisaa kama doria usiku huu . Nimejaribu kujiuliza kama inahusiana na hali ya usalama hasa baada ya lile tamko la kiusalama toka ubalozi wa US maana toka lile tamko nimekua on high alert
Tunaishi dar mkuu...kwani we unaishi wapi?Kwani nyie mnaishi wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo umenena.Katika Lugha Sanifu ya Kiswahili hakuna Neno Lisaa Limoja bali kuna Neno sahihi la Saa Moja....
Dar, ila sijaona kitu wala kusikiaTunaishi dar mkuu...kwani we unaishi wapi?
Mi zimepita juu ya nyumba kabisa naziona tena huku uswahilini
Ngeli ya SAA ni IPI ticha?Katika Lugha Sanifu ya Kiswahili hakuna Neno Lisaa Limoja bali kuna Neno sahihi la Saa Moja.
Kuhusiana na Helicopter uliyoiona nadhani badala ya Kushangaa / Kuishangaa basi ungepongeza kwani ni Jukumu la Watu tuliowakabidhi dhamana ya Ulinzi na Usalama kutulinda Watanzania muda na wakati wowote ule.
Inazunguka wapi na wapi?
Wewe ni IGP.Sio kawaida kwa helicopter kuzunguka mara nne ndani ya lisaa kama doria usiku huu . Nimejaribu kujiuliza kama inahusiana na hali ya usalama hasa baada ya lile tamko la kiusalama toka ubalozi wa US maana toka lile tamko nimekua on high alert
Mkuu iyo uliyoiona siyo helicopter ni international space station ISS.Sio kawaida kwa helicopter kuzunguka mara nne ndani ya lisaa kama doria usiku huu . Nimejaribu kujiuliza kama inahusiana na hali ya usalama hasa baada ya lile tamko la kiusalama toka ubalozi wa US maana toka lile tamko nimekua on high alert
Taarifa za juu juu zinasema ni Haji Manara anamtafuta Rushayna kwani toka kaachwa hana raha, anajiharishia kila akimkumbuka msukuma wa watu.Sio kawaida kwa helicopter kuzunguka mara nne ndani ya lisaa kama doria usiku huu . Nimejaribu kujiuliza kama inahusiana na hali ya usalama hasa baada ya lile tamko la kiusalama toka ubalozi wa US maana toka lile tamko nimekua on high alert
USS ENTERPRISENdo kitu gan