Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
kitu cha kawaida hicho. pilots hufanyiwa mafunzo ya kuendesha na kutua usiku pia. mafunzo lazima yafanyike usikuSio kawaida kwa helicopter kuzunguka mara nne ndani ya lisaa kama doria usiku huu . Nimejaribu kujiuliza kama inahusiana na hali ya usalama hasa baada ya lile tamko la kiusalama toka ubalozi wa US maana toka lile tamko nimekua on high alert