Kuna faida gani kuwatengea wanawake "Viti maalum" 110 vya ubunge?

Kuna faida gani kuwatengea wanawake "Viti maalum" 110 vya ubunge?

kazi na dawa. hiyo ni posho ya wakubwa wewe inakuuma kwa sababu hujawa mbunge ukiwa mbunge utaona faida ya kukaa jirani na hao wadada yaani spika anongea wewe mkono upo sehemu sehemu unatafuta network halafu unamuuliza spika hapo umesemaje nilikuwa busy kidogo.

Yaani hiyo ya kutafuta "Network" ndiyo faida ya wabunge wa vitu maalum?
 
Ushabiki wa vyama nimekoma aisee! Watu waliumizana kwenye kampeni na wengine walikufa kwa kukanyagana huko Morogoro lakini wengine wachache wanapenya kiulaini! Really politics ni mchezo mchafu
 
kazi na dawa. hiyo ni posho ya wakubwa wewe inakuuma kwa sababu hujawa mbunge ukiwa mbunge utaona faida ya kukaa jirani na hao wadada yaani spika anongea wewe mkono upo sehemu sehemu unatafuta network halafu unamuuliza spika hapo umesemaje nilikuwa busy kidogo.

aisee ww jamaa umenivunja mbavu
 
Vp mbatia naye si alikuwa viti maalum yule? Alimhonga nn mzee wa msoga
 
Duh!Irene Uwoya mbunge vitu maalum Tabora,kazi kwako Mwigulu Nchemba
 
Vp mbatia naye si alikuwa viti maalum yule? Alimhonga nn mzee wa msoga

Viti 10 vya rais havina utata! Ila hivi maalum vya wanawake vimekuwa vingi mno, hata vingekuwa 50 bado naona ni vingi sana maana hawajaonyesha mchango wowote bungeni zaidi ya kutetea maslahi yao ya kuwepo hapo, hasa wa sisiemu na zile 'ndioooooooooooooo!!!'.
Nakumbuka wakati wa sakata la escrow kuna wamama wa viti maalum walitoa michango yao, NILISIKITIKA sana. Kuna haja ya kupunguza idadi yao!
 
HivI kuna walemavu wangapi wa viungo hapo waliowekwa
???

Soma kwanza faida za wabunge wa vitu maalum zinazoandikwa humu JF kisha upime mwenyewe kama mlemavu wa viungo anaweza kufaulu Practical yake.
 
Astaghafilullah!!
Tangia nimeanza kuandika humu JF, leo Tindo umenichekesha sijawahi kucheka kiasi hiki, yaani "Ushindwe mwenyewe kuimbisha" na kumwaga sera ya kumpata mbunge wa "kitu maalum"

Hahahaaha
 
Ni kweli ni mizigo, lakini hizi si ndizo Sera za serikali yetu sikivu? Sidhani kama huu ni wakati muafaka kulalamikia haya. Tulipewa muda na tumeutendea haki. So sioni jipya hapa.

Kutokupata kilichotegemewa sio kigezo cha kukaa KIMYA juu ya upuuzi. Ni lazima kila lisilo sawa likemewe /likosolewe Bila kujali nani Kawa Rais
 
Viti 10 vya rais havina utata! Ila hivi maalum vya wanawake vimekuwa vingi mno, hata vingekuwa 50 bado naona ni vingi sana maana hawajaonyesha mchango wowote bungeni zaidi ya kutetea maslahi yao ya kuwepo hapo, hasa wa sisiemu na zile 'ndioooooooooooooo!!!'.
Nakumbuka wakati wa sakata la escrow kuna wamama wa viti maalum walitoa michango yao, NILISIKITIKA sana. Kuna haja ya kupunguza idadi yao!

mkuu mm naona vyote hvyo havina umuhimu. Hao viti maalumu wanamuwakilisha nan?
Wabunge wapo kwaajili ya kuwawakilsha wananchi wao sasa hao viti maalum wanamuwakilisha nani kama sio kupeana ulaji kishikaji wakat wananchi wanalala njaa
 
Siku zote sikuwahi kujua wala kufikiri kwamba idadi ya viti maalum vya wanawake bungeni inaweza kufikia hii, yaani viti 110 ...
Next time jitahidi kuwa mfuatiliaji wa mambo, bila shaka ungefuatilia mchakato wa kupata katiba mpya basi leo usingeshangaa hiyo idadi.
 
(Wabunge viti maalum + wabunge Wa kuchaguliwa)*mshahala Wa kila mbunge + posho ya kila mbunge + ghalama za kuhudumia magari yao + mshahara Wa mbunge akiwa waziri + kiinua mgongo baada ya 5 years = umaskini kwa watanzania.
 
Sina chama ila upinzani unaniudhi kwa tabia yake ya kujifanya ina umizwa na matatizo yetu hali ya kuwa kiuhalisia hawako hivyo,hucheza na hisia zetu za matatizo tuliyonayo,mambo mengine hayaitaji hadi uingie ikulu.

Wewe uko kama mimi ningefurahi ccm ingeshinda viti vyote vya ubunge na udiwani asiwepo hata wakutusemea wananchi na hata wakiiba potelea mbali
 
Kati ya vitu navyoona ni upuuzi ni hilo... Labda wataalam wa mambo ya kijamii na uchumi mtusaidie. Kuna tija yoyote kwa taifa hili?
 
Wabunge wa viti maalumu kwa kina mama ni muhimu sana kwa usawa wa kijinsia kutokana na mambo ya kihistoria ya mfumo dume.
 
Back
Top Bottom