kazi na dawa. hiyo ni posho ya wakubwa wewe inakuuma kwa sababu hujawa mbunge ukiwa mbunge utaona faida ya kukaa jirani na hao wadada yaani spika anongea wewe mkono upo sehemu sehemu unatafuta network halafu unamuuliza spika hapo umesemaje nilikuwa busy kidogo.

Viti vyenyewe eti anapewa watoto wa ditopile , sijui dr Nani ... Aiseee chadema nao eti wakampendekeza mama lowasa.. Dah!! Hii nchi .
Vp mbatia naye si alikuwa viti maalum yule? Alimhonga nn mzee wa msoga
Vp mbatia naye si alikuwa viti maalum yule? Alimhonga nn mzee wa msoga
Astaghafilullah!!
Tangia nimeanza kuandika humu JF, leo Tindo umenichekesha sijawahi kucheka kiasi hiki, yaani "Ushindwe mwenyewe kuimbisha" na kumwaga sera ya kumpata mbunge wa "kitu maalum"
Ni kweli ni mizigo, lakini hizi si ndizo Sera za serikali yetu sikivu? Sidhani kama huu ni wakati muafaka kulalamikia haya. Tulipewa muda na tumeutendea haki. So sioni jipya hapa.
Umekurupuka.
Viti 10 vya rais havina utata! Ila hivi maalum vya wanawake vimekuwa vingi mno, hata vingekuwa 50 bado naona ni vingi sana maana hawajaonyesha mchango wowote bungeni zaidi ya kutetea maslahi yao ya kuwepo hapo, hasa wa sisiemu na zile 'ndioooooooooooooo!!!'.
Nakumbuka wakati wa sakata la escrow kuna wamama wa viti maalum walitoa michango yao, NILISIKITIKA sana. Kuna haja ya kupunguza idadi yao!
Kuna haja ya kuliangalia hili kwa jicho la tatu,,i support vbaki 40 au visiwepo
Next time jitahidi kuwa mfuatiliaji wa mambo, bila shaka ungefuatilia mchakato wa kupata katiba mpya basi leo usingeshangaa hiyo idadi.Siku zote sikuwahi kujua wala kufikiri kwamba idadi ya viti maalum vya wanawake bungeni inaweza kufikia hii, yaani viti 110 ...
Sina chama ila upinzani unaniudhi kwa tabia yake ya kujifanya ina umizwa na matatizo yetu hali ya kuwa kiuhalisia hawako hivyo,hucheza na hisia zetu za matatizo tuliyonayo,mambo mengine hayaitaji hadi uingie ikulu.