Kuna familia ambazo zinaamini ili utoboe katika maisha basi uajiriwe na nyingine katika kupambana (kujiajiri)

Soaiod

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
469
Reaction score
888
Kama kichwa cha mada hapo juu kinavyojieleza, kuna familia ambazo zimeaminishwa ili waweze kuendesha maisha nipale wanapokuwa katika ajira ,ama shirika au serikalini.

Na familia hizi nyingi zitafanya juu chini kuhakikisha mwanafamila wao unaingia katika ajira ama serikalini au katika taasisi.

Na familia nyingine ni mahustlers wao wamejengwa katika kupambana kijitafutia na wala wakienda shule lengo lao si kupata elimu ili aje kuajiariwa bali kupata maarifa.

Wale ambao mindset zao zina amini katika ajira ni ama watu wao wakaribu waliofanikiwa walikuwa katika ajira hivyo kupelekea kuamini katika njia hiyo hiyo ndio kuna mafanikio.

Unaweza shangaa mtu ana elimu nzuri amekaa sehemu ambayo kuna fursa nzuri ya kiuchumi lakini sababu ameshaijenga akili yake katika kuajiriwa asichangamkie akawa mtu wakulalama kuhusu ajira wakaja wengine wakachangamkia fursa na kupiga hatua kubwa kimaendeleo hata kupelekea kuwa waajiri kwa wale wanaopenda ajira.

Haya mambo ya ajira sababu ya undugunization ndio yamechangia kwa sehemu kubwa kuwa na watu ambao ni incompetent sababu ajira zimekuwa kama za watu au kikundi cha watu flani katika nchi.

Hivyo ili tutoboe tukubali mindset kuziseti nakuziambia sio lazima kuajiriwa hata tukijiajiri wenyewe inawezekana.
 
Kama ishu ni kutoboa kimaisha basi zote zipo sahihi
 
Rich dady poor dady.........
 
Nawapongeza Wachaga kwa mioyo yao ya kutoana kimaisha,kijana kama hana ajira wanamuonesha connection za kujiajiri
 
Back
Top Bottom