Tetesi: Kuna Fununu kuwa Serikali inadoctor Taarifa za makusanyo ya kodi

Tetesi: Kuna Fununu kuwa Serikali inadoctor Taarifa za makusanyo ya kodi

Wewe ndio umejua leo..taarifa za mapato nilikuwa ni za kinafiki kumfurahisha mzee ..Serikali ilipobania zile hela za maafa ya Bukoba wenye akili tulitambua hakuna mapato yanayokusanywa
 
Kuna Taarifa za Kuaminika Kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imekuwa na Mtindo wa Kudoctor au kudressup taarifa za Makusanyo ya Kodi ili yaonekane ni kwenye tune ya Trilion na sio billions. Wamefanya hivi zaidi ya Mara tatu. Ningependa Waziri anayehusika aje hapa akanushe, au kama ni kweli atoe sababu za msingi za kufanya hivyo!
Rumourmongering Ni tabia ya kijinga Sana !
 
Let me Put it this way Magufuli is a hypocrite and a Drama queen in everything he Do, whether Bad or good! Na nilichosema sio tetesi ni kweli. Kama nisemayo sikweli basi watoe makusanyo ya Miezi miwili iliyopita! Kuna aliyesema nisiwajazie inzi JF, Nashangaa kwa mara ya Kwanza Manzi wanabagua Manzi wengine!
 
Sasa kama ngazi za maamuz wamejaa vilaza wa level ya lami yaani zeros na bado waliowaweka wanaamini mapato yataongezeka dawa yake ni kuongeza figures kwenye makusanyo wenye akili wanalinganisha na hali halis ya huduma za jamii ambazo ukichunguza ni kama zimeparalyse kibaya zaidi serikali inahangaika na watu wanaoikosoa badala ya kujenga uchumi ulioyumba na unaendelea kuyumba srrikali nzima inahangaika na lema, lissu nimegundua wakijitokeza wapinzan 10 wa aina ya lema na lissu hii serikali inaweza kufa kifo cha mende
 
Back
Top Bottom