ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Taifa limefilisika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiandika kitu ujue utawajibika kutolea Maelezo beyond reasonable doubtQeka hizo nondo zako.Ukibanwa na mkono wa dola kwa kuweka uzushi utapata kuelewa maana ya sheria mpya ya habari
Kuna Taarifa za Kuaminika Kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imekuwa na Mtindo wa Kudoctor au kudressup taarifa za Makusanyo ya Kodi ili yaonekane ni kwenye tune ya Trilion na sio billions.Wamefanya hivi zaidi ya Mara tafu. Ningependa Waziri anayehusika aje hapa akanushe, au kama ni kweli atoe sababu za msingi za kufanya hivyo!
Kuna Taarifa za Kuaminika Kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imekuwa na Mtindo wa Kudoctor au kudressup taarifa za Makusanyo ya Kodi ili yaonekane ni kwenye tune ya Trilion na sio billions. Wamefanya hivi zaidi ya Mara tafu. Ningependa Waziri anayehusika aje hapa akanushe, au kama ni kweli atoe sababu za msingi za kufanya hivyo!

vipi kuhusu ajira mpya kimya mpaka leo!Mie naona mishahara inalipwa mapemaaa!watoto wanaenda shule bure!ndege zinanunuliwa,ct scan&MRI,mabweni UDSM,barabara zinakamilika tu,miradi ya maji!Yaani kama fake wenyewe ndio hii basi waendelee tu!mambo yako poa saana
JF kuna verified and non-verified users. you are in the latter category.Jina Langu Ni Mokili Fumulauhi, kwani nani Kakuambia sio Jina langu, Ulitaka liwe nini jina Langu ndio uamini? kama Mtu anaitwa Pombe au Maufuunguo na huhoji jina lake kama ni la kweli langu kwanini unahoji Ulitaka Niitwe Juma au John ndio uamini?
Na wewe ni category gani?JF kuna verified and non-verified users. you are in the latter category.
Nadhani ifikie mahala tuwe na uelewa wa kuosha, cc mtu povu linamtoka eti TRA wanadanganya- na kama serikali inadanganya manake ni kusubiria kwan hata mishahara haitalipika-kwa kuwa shuguli zote zinaendelea vema- hakuna haja ya kutoa povu.Hata kama wana fake mwisho wa siku tatizo ni lako au lao. Kwani linakuhususu. Au unategemea mgao wowote kutoka katika trilioni hizo mzee. Vichwa vyetu vina mambo mengi ya kufanya. Usijaze brain zetu na junks kamanda
Kwani uliambiwa fedha ikikusanywa inabidi igawiwe kwa kila mtu ? Tafuta namna bora ya wewe kujiingizia kipato. Unaona jinsi pesa itakavyo reflect kwakoHawana sababu ya kututangazia kwamba wana pesa wakati hizo pesa hazi reflect maisha yetu ya kawaida kwenye huduma za kijamii
dude,siyo hivyo tambo zote za makusanyo ambayo zimekuwa zinasikika kuwa consistence yake ni interms of trillion,kwa kila mwezi ingebiidi tuone impact yake kwenye maisha ya wananchi,ukilinganisha na kipindi cha makusanyo ilipokuwa interms of billions,Hata kama wana fake mwisho wa siku tatizo ni lako au lao. Kwani linakuhususu. Au unategemea mgao wowote kutoka katika trilioni hizo mzee. Vichwa vyetu vina mambo mengi ya kufanya. Usijaze brain zetu na junks kamanda
Ni kweli hakuna amakusanyo ya kiasi hicho!Yawezekana
Basi siyo tetesi maana ni taarifa za kuaminika.(Kwa mujibu wa maelezo yako)
Bila shaka umetumwa na babu yulee?Kwani JK.Nyerere alisema nini maana ya maendeleo?Kwani uliambiwa fedha ikikusanywa inabidi igawiwe kwa kila mtu ? Tafuta namna bora ya wewe kujiingizia kipato. Unaona jinsi pesa itakavyo reflect kwako