Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lumumba hawaelewi kabisa hayo mambo mkuuHizo pesa /makusanyo yanamhusu mpaka ndugu yako alie kijijini huko ,inamaana haufahamu kazi ya hayo makusanyo Mkuu ?..Hebu soma tena ulicho andika kama kinaleta mantiki..
kichwa chako kimejaa wadudu wanaosumbuaga smart phone yangu, kirus mbaya sana, mpaka natamani kuipiga na runguHata kama wana fake mwisho wa siku tatizo ni lako au lao. Kwani linakuhususu. Au unategemea mgao wowote kutoka katika trilioni hizo mzee. Vichwa vyetu vina mambo mengi ya kufanya. Usijaze brain zetu na junks kamanda
Sasa ili uamini ulichoambiwa ni sahihi unaishauri serikali ikushirikishe wakati inahesabu pesa za kodi ilizopata au aitwe waziri kivuli wa fedha wa chadema akahakikishe kwa sab kila hesabu inayotoka ni uongo!!! Nakushauri achana na idadi ya pesa inayopatikana fuatilia matumizi yake tu.Hizo pesa /makusanyo yanamhusu mpaka ndugu yako alie kijijini huko ,inamaana haufahamu kazi ya hayo makusanyo Mkuu ?..Hebu soma tena ulicho andika kama kinaleta mantiki..
Tunaomba za kwako zisizopikwaSisi akina Mdudu tulilifahamu hili mapema. Serikali hii ni ya kilaghai, kwani hupenda kusifiwa tu na ndiyo maana wamekuwa na tabia ya kupika takwimu.
Kwa hiyo itakuwa kila uzushi mnaosikia mnataka "waziri aje hapa akanushe!!? " Hovyo kabisa, ondoa jina feki ndipo umwite waziriKuna Taarifa za Kuaminika Kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imekuwa na Mtindo wa Kudoctor au kudressup taarifa za Makusanyo ya Kodi ili yaonekane ni kwenye tune ya Trilion na sio billions. Wamefanya hivi zaidi ya Mara tafu. Ningependa Waziri anayehusika aje hapa akanushe, au kama ni kweli atoe sababu za msingi za kufanya hivyo!
Kweli kabaisa, watu wanaandika kwa hisia badala ya uhalisia!!Kuna sababu ya lazima sasa sheria mpya ikaze zaidi.Watu waandike vitu wakiwa na uhakika navyo
Sasa ili uamini ulichoambiwa ni sahihi unaishauri serikali ikushirikishe wakati inahesabu pesa za kodi ilizopata au aitwe waziri kivuli wa fedha wa chadema akahakikishe kwa sab kila hesabu inayotoka ni uongo!!! Nakushauri achana na idadi ya pesa inayopatikana fuatilia matumizi yake tu.
Unachekesha sana kwani kinachokusanywa kinatosheleza budget mama? Asilimia zaidi ya 40 ya bajeti inatoka kwa wahisani na wakati wote wahisani hawaleti misaada au mikopo kwa wakati na iliyotimilifu hivyo kusababisha maeneo yote yanayotegemea pesa kutoka serikali kuu kutopata kiasi kilichotengwa ama kuombwa.Ni mara ngapi imewahi kulalamikiwa Bungeni na Wabunge hata wa CCM kuwa yalio ahidiwa na Mawaziri ktk Bajeti zao hayajafikishwa kunako stahili ?..Hukusikia Wabunge wakisema hawatopitisha Bajeti ya Waziri flani mpaka alicho ahidi kitekelezwe ktk Jombo la Mbunge husika ?..
Tunakusanya nyingi sana kwa matamko/taarifa ,ila matumizi ndio huwa umbua wazi wazi...
We ndo jinga kweli may asjue uharisia wa mapato na makusanyo ya nchi yake au ww ni pumbavuHata kama wana fake mwisho wa siku tatizo ni lako au lao. Kwani linakuhususu. Au unategemea mgao wowote kutoka katika trilioni hizo mzee. Vichwa vyetu vina mambo mengi ya kufanya. Usijaze brain zetu na junks kamanda
Unachekesha sana kwani kinachokusanywa kinatosheleza budget mama? Asilimia zaidi ya 40 ya bajeti inatoka kwa wahisani na wakati wote wahisani hawaleti misaada au mikopo kwa wakati na iliyotimilifu hivyo kusababisha maeneo yote yanayotegemea pesa kutoka serikali kuu kutopata kiasi kilichotengwa ama kuombwa.
Toka enzi za nyerere budget ya tz inategemea kwa asilimia kadhaa donors na mikopo na ni africa nzima inategemea donors wa ulaya bila misaada mikopo misaada usingeona ufanisi wa miradi mingi mikubwa unayoiona kwa mfano barabara za mwendo kasi madaraja kadhaa mashule mahospital hata vifaa vya kijeshiSasa kwa muwahadae Wananchi kwa kupanga Bajeti kubwa ilikhali mnawategemea Wahisani ?..
Hebu nisaidie labda mim ndio sielewi..
Hata kama wana fake mwisho wa siku tatizo ni lako au lao. Kwani linakuhususu. Au unategemea mgao wowote kutoka katika trilioni hizo mzee. Vichwa vyetu vina mambo mengi ya kufanya. Usijaze brain zetu na junks kamanda[/QUOTE
We ndio junk kabisa aisee. Huoni impact kwa taifa kama serikali inakuwa inatoa taarifa fake?
Unajificha katika kichaka cha ati uko mambo mengi!! Kituko wewe!
Toka enzi za nyerere budget ya tz inategemea kwa asilimia kadhaa donors na mikopo na ni africa nzima inategemea donors wa ulaya bila misaada mikopo misaada usingeona ufanisi wa miradi mingi mikubwa unayoiona kwa mfano barabara za mwendo kasi madaraja kadhaa mashule mahospital hata vifaa vya kijeshi