Tetesi: Kuna Fununu kuwa Serikali inadoctor Taarifa za makusanyo ya kodi

Wewe ndio umejua leo..taarifa za mapato nilikuwa ni za kinafiki kumfurahisha mzee ..Serikali ilipobania zile hela za maafa ya Bukoba wenye akili tulitambua hakuna mapato yanayokusanywa
 
So what? Kafanye kazi acha kutujaazia inzi humu wwe mbuzi wa shuhuli
 
Rumourmongering Ni tabia ya kijinga Sana !
 
Let me Put it this way Magufuli is a hypocrite and a Drama queen in everything he Do, whether Bad or good! Na nilichosema sio tetesi ni kweli. Kama nisemayo sikweli basi watoe makusanyo ya Miezi miwili iliyopita! Kuna aliyesema nisiwajazie inzi JF, Nashangaa kwa mara ya Kwanza Manzi wanabagua Manzi wengine!
 
Sasa kama ngazi za maamuz wamejaa vilaza wa level ya lami yaani zeros na bado waliowaweka wanaamini mapato yataongezeka dawa yake ni kuongeza figures kwenye makusanyo wenye akili wanalinganisha na hali halis ya huduma za jamii ambazo ukichunguza ni kama zimeparalyse kibaya zaidi serikali inahangaika na watu wanaoikosoa badala ya kujenga uchumi ulioyumba na unaendelea kuyumba srrikali nzima inahangaika na lema, lissu nimegundua wakijitokeza wapinzan 10 wa aina ya lema na lissu hii serikali inaweza kufa kifo cha mende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…