Hiyo sio mbaya naipenda pia. Ila hawa wa altezza nakubali ni wahuni tuDuh hata Forrester XT huitaki?
dah,sasa kwenye noah hapo umegusa sipo..Unaendesha NOAH alaf full Tinted lazima watakuhisi ni "Watu wasiojulikana", IST, Alteza, Crown ni magari ya wanyoa Viduku na kuvaa Vibukta vifupi.
Altezza haijaonewa...hiyo ni gari ya wahuni..,sijawahi kuona kijana smart au mzee wa heshima amekaa humo..Yaani kuna gari ukiendesha hata kama Una busara zako unaonekana muhuni tu,hasa zikiwa zenye tinted ukishuka ndio unaona aah kumbe blaza!
Gari ambazo watu huzichukulia vibaya ni kama
Altezza,Subaru hasa Impreza na Forrester,Crown,IST kwa wenzetu SA VW Polo