Kuna Gari za Ubalozi naziona zinasambaza Zawadi za Vifurushi Misikitini leo tafadhali zigawiwe Kiusawa na si kwa Upendeleo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Zinasambazwa na Gari za Ubalozi wenye namba 255 sijajua ni Ubalozi wa Taifa gani.

Vilivyomo ndani ya Vifurushi Zawadi hivyo (ambavyo GENTAMYCINE nimechungulia Kiuwizi Uwizi ) ni Mchele, Unga, Sukari, Mafuta ya Kupikia, Milo, Siagi, Chumvi na Juice Mchanganyiko.

Japo Mimi ni Mkristo (tena wa Dhehebu Kinara la Katoliki) jukumu langu Kuu kuanzia sasa ni kuangalia kama Vifurushi Zawadi hizi zitagawiwa kwa Haki na Usawa.
 
Huku mbuzi na kondoo zilizochinjwa zinagawiwa kiholela, kuna kirikuu imepakia mifugo hao waliochinjwa tayari, mkikutwa mmekusanyika wawili watatu mnatupiwa mkajichunue zenu mpate kitoweo. Labda ni sadka hiyo, tunakula tusichokijua kama hatuna akili nzuri
 
"Msikitini"

Kma n huko wanatoa msaada hakuna ttz
 
Zinasambazwa na Gari za Ubalozi wenye namba 255 sijajua ni Ubalozi wa Taifa gani.

Vilivyomo ndani ya Vifurushi Zawadi hivyo (ambavyo GENTAMYCINE nimechungulia Kiuwizi Uwizi ) ni Mchele, Unga, Sukari, Mafuta ya Kupikia, Milo, Siagi, Chumvi na Juice Mchanganyiko.

Japo Mimi ni Mkristo (tena wa Dhehebu Kinara la Katoliki) jukumu langu Kuu kuanzia sasa ni kuangalia kama Vifurushi Zawadi hizi zitagawiwa kwa Haki na Usawa.
Unaacha kufanya kazi unajikuta kwenye umbea mwanamume😅😅
 
Huku mbuzi na kondoo zilizochinjwa zinagawiwa kiholela, kuna kirikuu imepakia mifugo hao waliochinjwa tayari, mkikutwa mmekusanyika wawili watatu mnatupiwa mkajichunue zenu mpate kitoweo. Labda ni sadka hiyo, tunakula tusichokijua kama hatuna akili nzuri
Tuombe tu Mungu hii Misaada tunayopewa isitufanye Wanaume wote tukalegea na kutaka kufanana na Dada zetu na hata Kuwasaidia wayafanyayo Faraghani.
 
Zinasambazwa na Gari za Ubalozi wenye namba 255 sijajua ni Ubalozi wa Taifa gani.

Vilivyomo ndani ya Vifurushi Zawadi hivyo (ambavyo GENTAMYCINE nimechungulia Kiuwizi Uwizi ) ni Mchele, Unga, Sukari, Mafuta ya Kupikia, Milo, Siagi, Chumvi na Juice Mchanganyiko.

Japo Mimi ni Mkristo (tena wa Dhehebu Kinara la Katoliki) jukumu langu Kuu kuanzia sasa ni kuangalia kama Vifurushi Zawadi hizi zitagawiwa kwa Haki na Usawa.
Wanajulika wanavyopenda kula
 
Haki na usawa ni ile kufuata utaratibu aliojipangia mtoa msaada. Huwezi weka hisia zako unazoona ndio usawa wakati mtoa msaada ndiye mwenye maamuzi. Hata akiamua kumpa vyote mtu mmoja wala hutakiwi kulalama.
 
Back
Top Bottom