Kuna Gari za Ubalozi naziona zinasambaza Zawadi za Vifurushi Misikitini leo tafadhali zigawiwe Kiusawa na si kwa Upendeleo

Haki na usawa ni ile kufuata utaratibu aliojipangia mtoa msaada. Huwezi weka hisia zako unazoona ndio usawa wakati mtoa msaada ndiye mwenye maamuzi. Hata akiamua kumpa vyote mtu mmoja wala hutakiwi kulalama.
Kwanini huwa mnasifika / wanasifika sana kwa Uroho ( Umelo ) uliotukuka?
 
Ukitaka kumrubuni mtu wa mnyaaz kirahisi gawa bure bila malipo Mchele, nyama yoyote Ile Ila muambie Ni ya kondoo to uarabuni, mafuta ya kupikia na Azam cola.
 
Unaacha kufanya kazi unajikuta kwenye umbea mwanamume😅😅
Sasa kama aliyekuleta duniani anaburudika nami Kibaiolojia hadi kunilipa Ujira wangu kwa Kazi yangu Tukuka Kwake huko siko kufanya Kazi?

Idiot.
 
Kipindi fulani nilikua nafanya kazi bandarini Dar. Pale Kuna ma shed mengi kuanzia shed number moja Hadi namba 8 lkn pia Kuna MP shed, BPD, LW9 n.k.
Mimi nilikua MP shed na pale ndio walipokua wanapokelea nyama ya mbuzi ya Bakwata kutoka uarabuni ikija kwa meli maalum. Waislamu wa Bakwata sio watu wabaya, wakija kuchukua nyama Yao na sisi wafanyakazi wa bandari tunaambulia kilo tano au zaidi.
Baasi bwana, kipindi kile Mimi Ni senior bachelor nakaa nyumba ya kupanga. Kipindi kile hakuna eti apartment self, kulikua hakuna huo ujinga. Ilikua nyumba ya vyumba sita, korido katikati uani Kuna jiko mabafu na chumba kimoja au viwili.
Mimi nilikua nakaa chumba Cha ndani. Mwenye nyumba chumba Cha mbele. Kuna siku nilipewa nyama nyingi tu na ndugu zangu wa Bakwata, na Mimi kufika nyumbani nikaamua kuwagawia wake za wapangaji wenzangu kwani Mimi nisingeweza kuila yote na hata friji Sina kipindi kile.
Eebwanae, Kuna mwamba alirudi akakuta mke wake amepika Ile nyama na kujiunga kwa Nazi na wali wa nguvu.
Swali la kwanza la jamaa kwa mkewe Ni NYAMA TAMU NAMNA HII UMEITOA WAP?Alipoambiwa imetoka kwangu, siku tatu nyingi. Jamaa alihama Ile nyumba.
 
Hiyo ( Hii ) paragraph yako ya mwisho imenifanya Nicheke mpaka basi. JamiiForums raha mno.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zinasambazwa na Gari za Ubalozi wenye namba 255 sijajua ni Ubalozi wa Taifa gani.

Vilivyomo ndani ya Vifurushi Zawadi hivyo (ambavyo GENTAMYCINE nimechungulia Kiuwizi Uwizi ) ni Mchele, Unga, Sukari, Mafuta ya Kupikia, Milo, Siagi, Chumvi na Juice Mchanganyiko.

Japo Mimi ni Mkristo (tena wa Dhehebu Kinara la Katoliki) jukumu langu Kuu kuanzia sasa ni kuangalia kama Vifurushi Zawadi hizi zitagawiwa kwa Haki na Usawa.
We kanywe mvinyo huko, mambo yetu ya pilau na sharubati hayakuhusu
 
Acheni chuki yaani hata wewe GENTAMYCINE ni mtu wa kuwabagaza na kuwakashifu waislamu watu peace vile eti wanapenda sana kula? Laumu mlivyo wachoyo upande wenu tatizo mataifa tajiri ya upande wenu ndio vile tena walinzi wa ushoga na mashoga
 
Ukitaka kumrubuni mtu wa mnyaaz kirahisi gawa bure bila malipo Mchele, nyama yoyote Ile Ila muambie Ni ya kondoo to uarabuni, mafuta ya kupikia na Azam cola.

Israel na Ufaransa mabodyguard wa ushoga sasa watapata wapi wazo kuwaza kuwapa chakula makanisani jamaa fikiria mataifa yanawaza kuulinda ushoga watoe wapi wazo la kuwasaidia japo mchele masikini wa upande wao
 
Back
Top Bottom