GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Popote pale ulipo jua GENTAMYCINE nipo.Genta kama genta kweny ubora wako mguu wa shingo mguu wa rohoo.
Nafatilia nijue ni ubalozi wa nchi gani hiyo walioamua kutoa sadka kwa wahitaji255 ni Ubalozi wa wapi?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mnyaaziKuna tende? Ukiona kuna tende ujue ni moja ya balozi za nchi zile za mnyaazi
Na kungekua na Condom ingekua ni moja ya balozi za nchi za LGBTQ.Kuna tende? Ukiona kuna tende ujue ni moja ya balozi za nchi zile za mnyaazi
Wanakuletea wewe shoga usipate ukimwiNa kungekua na Condom ingekua ni moja ya balozi za nchi za LGBTQ.
Unaacha kufanya kazi unajikuta kwenye umbea mwanamume😅😅Zinasambazwa na Gari za Ubalozi wenye namba 255 sijajua ni Ubalozi wa Taifa gani.
Vilivyomo ndani ya Vifurushi Zawadi hivyo (ambavyo GENTAMYCINE nimechungulia Kiuwizi Uwizi ) ni Mchele, Unga, Sukari, Mafuta ya Kupikia, Milo, Siagi, Chumvi na Juice Mchanganyiko.
Japo Mimi ni Mkristo (tena wa Dhehebu Kinara la Katoliki) jukumu langu Kuu kuanzia sasa ni kuangalia kama Vifurushi Zawadi hizi zitagawiwa kwa Haki na Usawa.
Tuombe tu Mungu hii Misaada tunayopewa isitufanye Wanaume wote tukalegea na kutaka kufanana na Dada zetu na hata Kuwasaidia wayafanyayo Faraghani.Huku mbuzi na kondoo zilizochinjwa zinagawiwa kiholela, kuna kirikuu imepakia mifugo hao waliochinjwa tayari, mkikutwa mmekusanyika wawili watatu mnatupiwa mkajichunue zenu mpate kitoweo. Labda ni sadka hiyo, tunakula tusichokijua kama hatuna akili nzuri
Ili mjue GENTAMYCINE nilipo mje Kuniteka?Ungepiga na kapicha kiwiziwizi ingependeza mkuu.
Wanajulika wanavyopenda kulaZinasambazwa na Gari za Ubalozi wenye namba 255 sijajua ni Ubalozi wa Taifa gani.
Vilivyomo ndani ya Vifurushi Zawadi hivyo (ambavyo GENTAMYCINE nimechungulia Kiuwizi Uwizi ) ni Mchele, Unga, Sukari, Mafuta ya Kupikia, Milo, Siagi, Chumvi na Juice Mchanganyiko.
Japo Mimi ni Mkristo (tena wa Dhehebu Kinara la Katoliki) jukumu langu Kuu kuanzia sasa ni kuangalia kama Vifurushi Zawadi hizi zitagawiwa kwa Haki na Usawa.
Naomba kujua namba za Ubalozi wa Uturuki, Yemen, Oman na Saudi Arabia tafadhali.nafatilia nijue ni ubalozi wa nchi gani hiyo walioamua kutoa sadka kwa wahitaji
Haki na usawa ni ile kufuata utaratibu aliojipangia mtoa msaada. Huwezi weka hisia zako unazoona ndio usawa wakati mtoa msaada ndiye mwenye maamuzi. Hata akiamua kumpa vyote mtu mmoja wala hutakiwi kulalama.Zinasambazwa na Gari za Ubalozi wenye namba 255 sijajua ni Ubalozi wa Taifa gani.
Vilivyomo ndani ya Vifurushi Zawadi hivyo (ambavyo GENTAMYCINE nimechungulia Kiuwizi Uwizi ) ni Mchele, Unga, Sukari, Mafuta ya Kupikia, Milo, Siagi, Chumvi na Juice Mchanganyiko.
Japo Mimi ni Mkristo (tena wa Dhehebu Kinara la Katoliki) jukumu langu Kuu kuanzia sasa ni kuangalia kama Vifurushi Zawadi hizi zitagawiwa kwa Haki na Usawa.
Ni Waroho ( Wamelo ) hadi Wanaboa.Wanajulika wanavyopenda kula