Kuna Genge ndani ya CCM linajiandaa kumuondoa Samia 2025 kwa Mlango wa Nyuma

Magufuli angeweza kushinda bila hata kuiba kura, ila tofauti ya kura ndio alikuwa hataki kusikia. Hakupora uchaguzi kwa bahati mbaya maana ukweli alikuwa anaujua
Imemsaidia nini ameviacha vvote, labda asingeiba uchaguzi angekuwa hai
 
Magufuli angeweza kushinda bila hata kuiba kura, ila tofauti ya kura ndio alikuwa hataki kusikia. Hakupora uchaguzi kwa bahati mbaya maana ukweli alikuwa anaujua
Hata mimi niliamini hivyo. Na ubunge angepoteza zaidi ya 50%. Aliogopa sana consequences
 
Reactions: Ame
Hata mimi niliamini hivyo. Na ubunge angepoteza zaidi ya 50%. Aliogopa sana consequences

Huo ndio ukweli uliomfanya Magufuli apore uchaguzi, maana alijua angepoteza nguvu kubwa bungeni, na wanaccm wenzake wangeonyesha uhasama mkubwa dhidi yake kuwa amekipotezea mvuto chama chao kwa siasa zake za mabavu. Hivyo aliamua bora iwe fedheha kuliko lawama.

However wanaccm wenzake wanaujua ukweli huo japo hawawezi kuusema hadharani, lakini wanajua fika ushindi walioupata haukuwa sahihi, na chama chao kimepoteza ushawishi kwa umma. Kibaya zaidi wameondoa moja kwa moja imani ya box la kura. Sioni wananchi wakijitokeza tena kwa wingi kupiga kura.
 
In some places umeandika vizuri,ila umekosea kuwaita wasio-ridhika na utendaji wa Samia na hivyo kutaka kumuondoa kuwa ni "genge." To me hao ni Watanzania wema wanaokerwa na kutekwa nyara nchi yetu na mabeberu.Hao Ni watu wakushangiliwa na sote tunapaswa kuwaunga mkono badala ya kuwakebehi kwa kutumia maneno mabaya kama "genge."
 
Huwezi kumuondoa Mwenyekiti wa CCM hata dak moja
Huu ni upotoshaji! Unataka kuwaaminisha wananchi kuwa chaguzi zote za Tanzania zitadhibitiwa na Rais/ Mwenyekiti wa CCM. Tume huru ya uchaguzi na utawala wa sheria vikisimamiwa na viongozi wa sehemu hizo tu ni fursa tosha kuweza kumwondoa madarakani kiongozi ye yote wa siasa. Angalia hapo jirani Malawi kilichotokea.

Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app
 
Acha kuwadanganya watu sisi siyo wajinga, hizi siasa nimefanya sn brother tangu chipukizi, mtu anateuwa watu wasimamizi wakubwa wote kabla ya kutangaza lazima Rais ajulishwe aulizwe kwanza na Mwenyekiti wa tume na kuna kuwa na mawasiliano ya moja kwa moja na Rais, mfumo wa Malawi ni tofauti na huku kule matokeo yanapingwa mahakamani na Rais hateui Mwenyekiti wa tume wala Mkurugenzi wake.
 
Mimi nipo kijijini kabisa mama hawamuelewi kabisa kabisa, Yani upataji wa bidha kila uchwao,kurudisha watu walionangwa hadharani ni wabadhirifu lakini yeye kawarudisha ni nikaa la moto huku,CCM akigombea huyu Mama ili wafanikiwe watumie mbinu ya auncle Magu tu kuiba kwa kwenda mbele kura na kukata majina ya wapinzani ovyo,akidhubutu uchaguzi uwe huru na wa haki CCM kwisha habari,
 
Leo umeongea ukweli, sasa kwanini ulisema yeye angeshindwa?
Aliwasaidia wasaliti na wao wakamtupa kule....Nina hasira na wasaliti kwakua wametupelekea hasara mara mbili!
 
Leo umeongea ukweli, sasa kwanini ulisema yeye angeshindwa?
Aliwasaidia wasaliti na wao wakamtupa kule....Nina hasira na wasaliti kwakua wametupelekea hasara mara mbili!
Kushindwa sio lazima kwa kura za urais tu, anaweza kushinda urais lakini akapoteza viti vingi vya ubunge, huku yeye akishinda urais kwa ushindi mwembamba. Angepoteza 2/3 ya maamuzi bungeni angefanya nini?
 
Kwahiyo unakubali tatizo ni la walioko kwenye chama na siyo individual kama mnavyotamani watu wadhani....2015 alikuwepo yeye?
 
hata kigogo inaonyesha ni kundi leo wanakula keki na vyeo
 
Hakuna genge lolote. Wewe ndiye unayechochea mambo hayo. Inabidi ufunguliwe mashitaka ya uchochezi
 
Kweli watamuangusha vibaya sana na hatakuwa na hamu tena na siasa baada ya kusalitiwa
 
Sio rahisi Mwenyekiti wa chama ndie mmiliki wa chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…