Kuna Genge ndani ya CCM linajiandaa kumuondoa Samia 2025 kwa Mlango wa Nyuma

Kwahiyo unakubali tatizo ni la walioko kwenye chama na siyo individual kama mnavyotamani watu wadhani....2015 alikuwepo yeye?

Unadhani hatujui tatizo ka chama na la huyo mtu wako?
 
Kila mtu ale urefu wa kamba babu we.
Sasa watu wanakula na kamba yenyewe.
 
Bahati mbaya.........au basi!
 
Ni haki yao na yeye anaelewa ndiyo maana akawapa nafasi kwa kuwatoa serikalini wakajipange vizuri
 
Kama Kinana kuwa makamu mwenyekiti ni udini Je John Malechela kuwa Makamu mwenyekiti wa CCM wakati wa Mkapa ni udini?.
Ninachojua Kinana kapigiwa kura na wanaCCM kapata 100%
 
Wangemtoa hata leo tu.
 
Nachojua ni kwamba Wa Tz hawajawahi kuridhika na mtu yoyote akiwa madarakani never. kazi ni kulalamika kila siku. Kila atakaekuja atasemwa vibaya lakini akiondoka utasikia alikuwa mtu mwema na sifa nyingi za kinafiki. Nafikiri let's wait tutaona. Hata ukipata wewe, tutakusema vibaya tu.
 
sawa tu, kwa tabia inayoendelewa ya fitina covid 19, kesi za michongo zinazotafuna pesa ya Jamhuri Ya Tanzania.....mtoeni tu
 
Subirini Mama akitoka madarakani ninakuhakikishia atafungwa maana bunge litamuondolea kinga, na hapo ndipo mtaelewa maana ya fitina. Sasa anaachwa tu ajianike na hivi kesha jinasibu na mauaji ya mtangulizi wake, stay tuned enyi wauaji.
Hatutafukua makaburi, tutaanza upya chini ya KATIBA mpya.
 
Mtoa hoja kumhujumu Rais licha kumtoa ni kupoteza muda na kujitakia kuparuliwa bure. Watu watulie mama amalize muda wake wa miaka 10 ajiondokee kwa usalama. Iwapo inchi akiwa na utulivu na kuendela kutawala kwa uaminifu bila upendeleo kama afanyavyo hakuna wa kumsumbua majority tunampenda.
 
Huu mwendo ni 2030 hakuna kupoa kazi lazima iendelee.
 
"....majority tunampenda..." Umesahau pia ".....majority wanamchukia..."

Ukiwa unampenda kiongozi fulani jua pia Kuna wanaomchukia hivyo nao Wana haki ya kuona akae pembeni. Sio mapenzi yako tu ndio utake wote wayaone
 
"....majority tunampenda..." Umesahau pia ".....majority wanamchukia..."

Ukiwa unampenda kiongozi fulani jua pia Kuna wanaomchukia hivyo nao Wana haki ya kuona akae pembeni. Sio mapenzi yako tu ndio utake wote wayaone
Hata kama hapendwi na baadhi ya wananchi lakini ukiangalia kwa makini kwa Mimi sioni nani mwingine anayeweza kuwa bora kuliko yeye kwa wakati huu !! Yaani kwa ukweli sioni mwingine kwa wakati huu kutoka kwenye chama tawala !!
 
Kutawala kwa uaminifu bila upendeleo!!? Unatatizo kubwa sana jichunguze.
 
Na limefanikiwa mpaka sasa maana linajua watanzania wanachohitaji ila linamshauri tofauti ili ikifika 2025 waseme upepo juu yako mchafu pisha tuokoe chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…