Kuna Genge ndani ya CCM linajiandaa kumuondoa Samia 2025 kwa Mlango wa Nyuma

Mama atoke tu hakuna anachofanya tena abebwe kutolewa apo kwa throan iyo,, mlevi mmoja alishasepa zake alisema ccm watakao iharibu ni ccm wenyew ndo hao tunawataka sisi
 
Bahati mbaya SSH amekuwa akiamini ndio kundi lenye kumshauri vizuri,kumbe ni kundi lenye Maslahi binafsi haliamini Kama Samia anaweza akatekeleza matakwa yake yote.
Mama SSH amezungukwa ka kundi baya na cha fu sana ambalo ni wapigaji watupu, yaani hili kundi linampeleka mama na nchi yetu pabaya sana sana. wengi wao ni mawaziri wake waandamizi na wakubwa ktk chama.
 
wakati kinana anachaguliwa kwa 100% kanda ya ziwa mbona walikuwemo kwenye kura
 
Mama aendelee kufanya mambo mazuri kwa Taifa. Programu ya kufukuza wamasai Loliondo aachane nayo
Aachane nayo vipi ikiwa washafukuzwa na bado wanaendelea kufukuzwa. Wengine wamepewa kesi za uraia, wengine kesi za mauaji
 
"....majority tunampenda..." Umesahau pia ".....majority wanamchukia..."

Ukiwa unampenda kiongozi fulani jua pia Kuna wanaomchukia hivyo nao Wana haki ya kuona akae pembeni. Sio mapenzi yako tu ndio utake wote wayaone
Okay fanyeni tuone mtakavyomtoa, acheni kuota mchana, chapa kazi achana na siasa uchwara za makundi, eti sukuma gang, eti kanda ya Ziwa mara hili mara hile, hamtafaulu bali mnajitenga na ukweli.
 
Bora kuongozwa na samia kuliko kuongozwa na chizi, mwanaharamu dictator uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…