Kuna Genge ndani ya CCM linajiandaa kumuondoa Samia 2025 kwa Mlango wa Nyuma

Sio genge la CCM tu, hata sisi Wananchi tutamuondoa kwa kura
 
"Samia ni dini moja na makamu wake kinana, hili linanung'unikiwa sana".kwani magufuli na makamu wake mangula walikuwa dini tofauti?au hao wanung'unikaji wa Sasa kipindi hicho hawakuliona Hilo?
 
Basi subiri SSH aweke demokrasia, Kura zipigwe na kuhesabiwa mchana kweupe. Amin Amin nakwambia utakuja kulalamika kwamba uchaguzi ulikuwa wa ovyo.
Hilo haliondoi ukweli kwamba jiwe hakuiba kura

He's corrupt,alinajisi uchaguzi lwa kiwango ambacho hakikuwahi kushuhudiwa
 

Nchi nzima ilikuwa na polling stations zaidi ya elfu kumi. Je, ni sahihi kwa wewe kufikia hitimisho kwa kutumia observation uliyofanya hapo mahali ulipokuwepo tu?

Isitoshe, huu mfano wa takwimu ulioutoa sio reliable kwasababu wewe una conflict of interest. Zingekuwa data zilizokuwa collected na independent pollster, zingekuwa more credible!
 
Mijadala mipana yenye kuelimisha na kufundisha Sasa hakuna Tena huku jukwaani zaidi kusutana na kutukanana tu
 

Kwahiyo ili ujue habari za nchi hii ni lazima uwepo sehemu zote za nchi hii? Hakukuwa na watu kwenye vituo vingine kutoa taarifa? Kwa taarifa yako tume ya taifa ya uchaguzi walisema waliojiandikisha kupiga kura ni 29m+, watanzania tunakadiriwa kufika 60m. Hiyo maana yake ni nusu ya watanzania walijiandikisha kupiga kura. Kwa maneno marahisi kila watu wawili mmoja alijiandikisha kupiga kura. Kwa takwimu hizo unahitaji 3rd party ya kitu gani kwa mfano? Hii haihitaji akili ya chuo, hata ya kuvukia barabara tu inatosha.
 
Ny.ok zao hawawezi kumtoa mama la mama
 
Duh !
 
Sema viongozi wengi hawana maesabu ya kisiasa,wamekalia mabifu, ningekua Mimi naimarisha upinzani kweli, nakaa nao vizuri dheni nagombea pitia chama chenye nguvu nawaachia jumba bovu la ccm na kuizika rasmi,

Ila Ndo ivyo hesabu zero
 
Mwacheni Mama yangu ale Maisha kaenda KWA Biden kupewa mimba azae!!unafikiri yule mwandishi wa kimarekani wa royal tour hajamla kimasikhara!!?Mimi natarajia mdogo wangu wa kizungu aniite kaka!!!nyie mpo tu mnatupigia makelele humu jamvini!!!
 
Huo ni ukweli sahihi mkuu.
 
Bahati mbaya hayo ni mawazo yako tu, huenda yahaendani na uhalisia.
 
It is our turn to eat. Mama tano tena -kuwapenda wanao wa Zanzibar is a motherly instinct.Kazi iendelee.
 
I hate this mum 'cause she's the "Radical Feminist Pundit" and she's implementing the the "Patform of Action and the Beijing Declation 1995. Samia alienda Mkutano wa wanawake Beijing akiwa na chama chake cha wanawake kilichoitwa WOMEN CATALIST. Alipoingia madarakani tu teuzi zake zimeonekana na sura nyingi za kike na hata kumtimua Ndugai hadi kumpa Tulia hadi Mkuu wa Majeshi ni mwanamke. Lol. Comes 2025 hatoboi .........
 
Pole sana hakika wewe ni sukuma gang aka Su Gang uliyeamini magu alikuwa Mungu pole sana !!!napenda kukuambia kama Mungu yupo basi anaipenda Tanzania amin nakwambia magu aliliharibu sana hili taifa ila kuelewa mpaka uwe na akili timamu
!!!
 
Halitofanikiwa kamwe, Mungu mpe maisha marefu Raisi wetu mpendwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…