Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Wakuu wana Tech
Nilinunua shamba 2019 ekari 12 Sasa kuna wahuni ninaopakana nao naona kila nikienda nakuta wamehamisha mpaka hata nikipanda miti wanang’oa na kuisogeza shamba linazidi kupungua tu
Sasa nataka kujua kama kuna GPS App naweza kupima mipaka yangu nikahifadhi online siku nikienda mi nawasha app tu namaliza mzozo......... NYAMBAFU ZAO