Tumia application ya YARAWakuu wana Tech
Nilinunua shamba 2019 ekari 12 Sasa kuna wahuni ninaopakana nao naona kila nikienda nakuta wamehamisha mpaka hata nikipanda miti wanang’oa na kuisogeza shamba linazidi kupungua tu
Sasa nataka kujua kama kuna GPS App naweza kupima mipaka yangu nikahifadhi online siku nikienda mi nawasha app tu namaliza mzozo......... NYAMBAFU ZAO
Cc CHIEF MKWAWAWakuu wana Tech

Ungejenga misingi kwenye kona. GPS mtakuja pigishana kelele tu.
Unaweza ila gps ya simu haiwezi kukupa accuracy kubwa, unaweza kuwa na error Mita 1-10 hivi. Kama anga ni jeupe bila mawingu accuracy inakua kubwa zaidiWakuu wana Tech