Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 Jan 30, 2025 #21 Eli Cohen said: Tuseme wewe ndio umefumaniwa kwa style hii. Niambie utafanya nini mkuu๐ Click to expand... Lazima utatoa tu hamna namna,. Naskia hua wanagawana Mke na mme hizo pesa za fumanizi.
Eli Cohen said: Tuseme wewe ndio umefumaniwa kwa style hii. Niambie utafanya nini mkuu๐ Click to expand... Lazima utatoa tu hamna namna,. Naskia hua wanagawana Mke na mme hizo pesa za fumanizi.
Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 17,022 Reaction score 36,936 Jan 30, 2025 #22 Joo Wane said: Siku hizi kawaida sana hiyo sijui ni kutokana na hali ngumu ya maisha. Click to expand... Umekaa na mkeo mnapanga fumanizi halafu anahamishwa hoteli, Anarudi kachokaa huku akikulaumu wewe, ukitishia kumuacha anatishia kuanika mipango yenu.
Joo Wane said: Siku hizi kawaida sana hiyo sijui ni kutokana na hali ngumu ya maisha. Click to expand... Umekaa na mkeo mnapanga fumanizi halafu anahamishwa hoteli, Anarudi kachokaa huku akikulaumu wewe, ukitishia kumuacha anatishia kuanika mipango yenu.
Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 4,460 Reaction score 13,715 Jan 30, 2025 Thread starter #23 Mr kenice said: Lazima utatoa tu hamna namna,. Naskia hua wanagawana Mke na mme hizo pesa za fumanizi. Click to expand... Ndiio mkuu.
Mr kenice said: Lazima utatoa tu hamna namna,. Naskia hua wanagawana Mke na mme hizo pesa za fumanizi. Click to expand... Ndiio mkuu.
Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 4,460 Reaction score 13,715 Jan 30, 2025 Thread starter #24 Tsh said: Umekaa na mkeo mnapanga fumanizi halafu anahamishwa hoteli, Anarudi kachokaa huku akikulaumu wewe, ukitishia kumuacha anatishia kuanika mipango yenu. Click to expand... ๐๐๐๐ Hii inaitwa do me i do u
Tsh said: Umekaa na mkeo mnapanga fumanizi halafu anahamishwa hoteli, Anarudi kachokaa huku akikulaumu wewe, ukitishia kumuacha anatishia kuanika mipango yenu. Click to expand... ๐๐๐๐ Hii inaitwa do me i do u
Odense JF-Expert Member Joined Nov 3, 2020 Posts 1,189 Reaction score 1,585 Jan 30, 2025 #25 Life ni gumu kwakweli
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 Jan 30, 2025 #26 Huo mda wanapanga Bora wangekuwa wanatafuta pesa