Mr kenice
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 4,260
- 7,033
Lazima utatoa tu hamna namna,.Tuseme wewe ndio umefumaniwa kwa style hii.
Niambie utafanya nini mkuu😁
Naskia hua wanagawana Mke na mme hizo pesa za fumanizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima utatoa tu hamna namna,.Tuseme wewe ndio umefumaniwa kwa style hii.
Niambie utafanya nini mkuu😁
Umekaa na mkeo mnapanga fumanizi halafu anahamishwa hoteli, Anarudi kachokaa huku akikulaumu wewe, ukitishia kumuacha anatishia kuanika mipango yenu.Siku hizi kawaida sana hiyo sijui ni kutokana na hali ngumu ya maisha.