Kuna haja gani kadi ya NHIF ikipotea ilipiwe 20,000 kupata nyingine?

Kuna haja gani kadi ya NHIF ikipotea ilipiwe 20,000 kupata nyingine?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Huu ni wizi kwani kadi hiyo siyo smart na ina namba kwanini zisitumike namba tu kumtambua mteja iwapo kapoteza kadi.
Kila kitu serikali imegeuza kitega uchumi tutafika kweli?
 
Fanya hivi kuokoa hyo sh.20,000/=
Ingia NHIF Self Service ujisajili ukishajisajili weka namba ya NIDA hapo kwenye nida utaulizwa baadhi ya maswali,NIDA ukikubali biashara kwisha itakuwa unatumia NIDA kwa ajili ya matibabu

Kama ni mtoto beneficiary mtengenezee kadi inaitwa e-card ambayo itakupa chaguo la kuidow Ning then utatumia kama kadi kwenye matibabu
Nhif hawatoi kadi kwa watu wenye umri wa miaka 18 kwa sasa wanataka utumie NIDA
 
Kwani si wamesema siku hizi kinatumika kitambulisho cha nida?
 
Huu ni wizi kwani kadi hiyo siyo smart na ina namba kwanini zisitumike namba tu kumtambua mteja iwapo kapoteza kadi.
Kila kitu serikali imegeuza kitega uchumi tutafika kweli?
Sasa hivi wanahamia kwenye NIDA
 
Back
Top Bottom