HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Kibabe sana mama!..😅Kwanini iwe bure?
Kama huoni umuhimu wa kulipia unaweza kuacha
Kibabe sana mama!..😅
sipingi tajiriSi ndio
Sasa hivi wanahamia kwenye NIDAHuu ni wizi kwani kadi hiyo siyo smart na ina namba kwanini zisitumike namba tu kumtambua mteja iwapo kapoteza kadi.
Kila kitu serikali imegeuza kitega uchumi tutafika kweli?