Kuna haja gani kumtazama marehemu ikiwa tunamfahamu na tumeishi naye miaka mingi kabla ya kifo?

Kuna haja gani kumtazama marehemu ikiwa tunamfahamu na tumeishi naye miaka mingi kabla ya kifo?

Tena kwa kuongezea hapa. Ukishashuhudia unapata faraja kwamba mwamba kaenda na unabaki na amani na unamfuta kichwani na maisha yanaendelea bila kuwaza au kufikiri utamuona tena! na unajifunza one day nitaondoka hapa duniani kama wengine... inarudisha na utu wa kuthamini wengine ukijua wewe ni mpitaji tu kama wengine walipita....
Sisi Waafrika tumelogwa na wakoloni na pia utamaduni wao na kuona wa kwetu hautufai.
Angalia majina tunawapa watoto wetu majina ya Kizungu au Kibiblia au Kiqur'an tukidhani Ukristo au Uislamu kumbe yale ni majina ya kwao hata kabla ya Ukristo au Uislamu kuwepo.
Ni majina ya kwao. Sisi tunaoma ukimpa jina John au Hassan ndio kuwa mtu wa dini.
Jina sio dini tutumie majina ya lugha zetu. Tunaweza kuwa majina ya kwetu na tukawa wacha Mungu wazuri

Hatutaki kubadilika, tumechotwa na utamaduni wao tunapuuza hata ya kwetu ingawa tunawasema vibaya hao.
Tuna lugha zetu na majina yenye maana nzuri tu.
 
Hatumuagi kwa sababu atatuona,ile ni heshima ya mwisho kwa marehemu kwa sisi ambao bado tuko hai.

Kwa hoja yako maana yake hakuna hata sababu ya kuhuzuria mazishi maana hataona kama ulienda kumzika, hakuna haja ya kwenda kumzika.

Hoja yako imekosa msingi, ni hoja dhaifu.
Mazishi tunahidhuria kwa ajili ya kuwafariji wafiwa pamoja na kusaidiana nao katika kutatua changamoto zinazohusiana na msiba..
 
Mazishi tunahidhuria kwa ajili ya kuwafariji wafiwa pamoja na kusaidiana nao katika kutatua changamoto zinazohusiana na msiba..
Hoja hapa sio wafiwa, hoja hapa je unachokifanya marehemu atajuaje maana hakuoni.

Kama ni kuwafariji wafiwa unaweza kuwafariji hata baada ya kua marehemu amezikwa.
 
Kuaga ni kopi ya tamaduni za ki magharibi zilizoingia kwenye jamii zetu. Ni sawa na mchezaji kufunga goli wakati refa keshamaliza mpira.
Mimi ni mkristo kiiman. Ila ukiifuata biblia sehem zote inaweka wazi watu walifanya maombolezo lakin sio kuuaga mwili.
#Yesu alipokufa hakuagwa
#Musa hali kadhalika
#Daudi pia
Na wengineo wengi
 
Kuna faida gani labda ya Kimantiki Watu Kulazimisha (Kung'ang'ania) Kumuangalia Marehemu akiwa 'Jenezani' tena ameshalala Usingizi wake wa Milele na kwamba hata ukipita Kumuaga kwa kumsogelea au kumgusa na kulia kila aina ya kilio wala hawezi kukujua sana sana utakuwa ni kama vile unapaka tu Rangi upepo?

Haya Waaga 'Marehemu' hebu nijibuni
Kama kwa bahati nzuri ukifiwa na mwanao uzuie na ukataze watu wasimuage mwanao ,weka utaratibu unaoona unafaa
 
Sisi Waafrika tumelogwa na wakoloni na pia utamaduni wao na kuona wa kwetu hautufai.
Angalia majina tunawapa watoto wetu majina ya Kizungu au Kibiblia au Kiqur'an tukidhani Ukristo au Uislamu kumbe yale ni majina ya kwao hata kabla ya Ukristo au Uislamu kuwepo.
Ni majina ya kwao. Sisi tunaoma ukimpa jina John au Hassan ndio kuwa mtu wa dini.
Jina sio dini tutumie majina ya lugha zetu. Tunaweza kuwa majina ya kwetu na tukawa wacha Mungu wazuri

Hatutaki kubadilika, tumechotwa na utamaduni wao tunapuuza hata ya kwetu ingawa tunawasema vibaya hao.
Tuna lugha zetu na majina yenye maana nzuri tu.
Nimelipenda jina lako! Nsibwene! Cha ajabu wanao utawapa majina hayo hayo ya kizungu au kiarabu 😀 😀
 
Sisi Waafrika tumelogwa na wakoloni na pia utamaduni wao na kuona wa kwetu hautufai.
Angalia majina tunawapa watoto wetu majina ya Kizungu au Kibiblia au Kiqur'an tukidhani Ukristo au Uislamu kumbe yale ni majina ya kwao hata kabla ya Ukristo au Uislamu kuwepo.
Ni majina ya kwao. Sisi tunaoma ukimpa jina John au Hassan ndio kuwa mtu wa dini.
Jina sio dini tutumie majina ya lugha zetu. Tunaweza kuwa majina ya kwetu na tukawa wacha Mungu wazuri

Hatutaki kubadilika, tumechotwa na utamaduni wao tunapuuza hata ya kwetu ingawa tunawasema vibaya hao.
Tuna lugha zetu na majina yenye maana nzuri tu.
Naam!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mlimuona mara ya mwisho katika uzima, usipo muona katika mauti ubongo hauwezi kumfuta kuwa hayupo tena. Hivyo ni kuujulisha ubongo kuwa hayupo tena na ule muweweseko wa uzima unatoka akilini
 
Urithi wa mila na desturi kutoka magharibi, kwa wazungu vilitiathiri sana ndio maana waafrika mfumo wetu wa kuzika ilikua mtu akifa tunahama hilo eneo na kwenda mbali maana tuliamini kifo ni laana na jamii nyingine mtu akifa hakuna kuaga walikua wanaufunga mwili na wanachaguliwa wanaume wa shoka wanaubeba na kwenda nao mbali na kuchimba shimo huko na kuufukia kimila na kurudi nyumbani tena haikuepo masanduku haya ya sasa.

Tukirudi kwenye mila zetu waafrika tutaishi muda mrefu sana na tutakua na furaha.
Hai wastaarabu Sana. Sisi Mila Yetu Ukifa tunaupaka Mwili wako Mafuta mazuri ya nayonukia Kisha tunaondoka na kuuacha fisi waufanye kitoweo!
 
Ukifa kuna haja ya Sisi kuja Kukuaga kwa Kukutizama ukiwa 'Jenezani' wakati kwa zaidi ya miaka 30 Bichwa lako Baya na Nyago ( Sura ) lako baya tunalijua?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu ndio maana wasema KUTOA HESHIMA ZA MWISHO
 
Ni mambo yaliyotungwa na binadamu kumuongezea faraja wakati amefiwa.
 
Back
Top Bottom