Kuna haja gani kumtazama marehemu ikiwa tunamfahamu na tumeishi naye miaka mingi kabla ya kifo?

Kuna haja gani kumtazama marehemu ikiwa tunamfahamu na tumeishi naye miaka mingi kabla ya kifo?

Kama kuna ulazima wa kuaga ilitakiwa ifanyike ngazi ya familia tu, kuruhusu kadamnasi nayo iage ni kutoa mwanya hata kwa waliokuwa wanamtmb€@ mkewe kupita na kumsanifu tu.
Kwani wa ndani ya familia hakuna anayeweza kufanya hayo?
 
Nimelipenda jina lako! Nsibwene! Cha ajabu wanao utawapa majina hayo hayo ya kizungu au kiarabu 😀 😀
Hata wanaopinga kuaga, wengi wao nao majina yao ni ya kuzungu..!! Maana wanakubali hiki na wanakata kile
 
kuna haja gani kuwapungia mkono wa kwa kheri watu wanaposafiri, maana hoja yako ina maana kuwa kuaga ni jambo baya kwa wale tulionao kila siku maishani mwetu..
......Wanaosafiri, mnaagana kwani kuna tegemeo kubwa la kuonana baadae, lakini si kwa mfu.
 
Back
Top Bottom