GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Like your Mum..!!!Usizuge kamaanisha we ni stupid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Like your Mum..!!!Usizuge kamaanisha we ni stupid
Like both your dad and your mumLike your Mum..!!!
Same applies to yours too You Dimwit.Like both your dad and your mum
Kwani wa ndani ya familia hakuna anayeweza kufanya hayo?Kama kuna ulazima wa kuaga ilitakiwa ifanyike ngazi ya familia tu, kuruhusu kadamnasi nayo iage ni kutoa mwanya hata kwa waliokuwa wanamtmb€@ mkewe kupita na kumsanifu tu.
Hata wanaopinga kuaga, wengi wao nao majina yao ni ya kuzungu..!! Maana wanakubali hiki na wanakata kileNimelipenda jina lako! Nsibwene! Cha ajabu wanao utawapa majina hayo hayo ya kizungu au kiarabu 😀 😀
......Wanaosafiri, mnaagana kwani kuna tegemeo kubwa la kuonana baadae, lakini si kwa mfu.kuna haja gani kuwapungia mkono wa kwa kheri watu wanaposafiri, maana hoja yako ina maana kuwa kuaga ni jambo baya kwa wale tulionao kila siku maishani mwetu..