Taja makosa yake ili tujue tunaanzia wapi. Achana na tuhuma maana zinaweza kuwa kweli au si za kweli.
Elezea MAKOSA YA DHAHIRI (ya kweli) aliyoyafanya
Hakuna jambo lolote kubwa na la maana sana lililofanyika nchini awamu ya tano ya kufanya taifa hili liukumbuke sana uongozi wa kipindi hicho.Ni miaka miwili kamili leo hii tangu aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania hayati John Pombe Magufuli afariki dunia....
Hapa ni funzo kwa watanzania kuhusu umuhimu wa katiba inayo kidhi mahitaji ya sasa pengine siyo katiba tu bali jamii yetu iwe ni jamii ya kuhoji na kutoa suluhisho la matatizo yaliyoko kwenye jamii kwa kusikilizwa na kuyachuka 'assimilate' na siyo ya bora liende na kusifu kila kukicha 'marginalize community'Ni miaka miwili kamili leo hii tangu aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania hayati John Pombe Magufuli afariki dunia...
Kuomba radhi lingeweza kuwa jambo jepesi sana na la kiungwana kulifanya, lakini kwa mazingira yetu yaliyotawaliwa na kiburi cha madaraka ni jambo gumu! Hata hivyo, pamoja na ukweli kuwa kwa sehemu kubwa uongozi wa kipindi kile ulikuwa wa mtu mmoja, bado isingewezekana marehemu kutekeleza uovu ule wote peke yake.Waliopo madarakani kwa Sasa inapaswa watuombe Radhi.
Walioshiriki uovu ndiyo watubu ama watuombe radhiKuomba radhi lingeweza kuwa jambo jepesi sana na la kiungwana kulifanya, lakini kwa mazingira yetu yaliyotawaliwa na kiburi cha madaraka ni jambo gumu!...
Marehemu mwenyewe alikuwa na chuki isiyoelezeka kwa maneno. Hakuna maneno ya kuweza kuelezea kiwango cha chuki yake bali mtu anaweza tu kupata picha kwa kutazama matendo yake na kuyadadavua. Uchaguzi mkuu na ule wa vijiji na mitaa ni jambo takatifu katika jamii inayojipambanua kustaarabika.Washirikina Huwa wapo hivyo.
Wanakua na chuki na marehemu.
Aliwabana wezi sasa ndio Hawa wanapiga kelele.Marehemu mwenyewe alikuwa na chuki isiyoelezeka kwa maneno. Hakuna maneno ya kuweza kuelezea kiwango cha chuki yake bali mtu anaweza tu kupata...
Nani anazijua sifa za mzalendo nambali 'one'Marehemu mwenyewe alikuwa na chuki isiyoelezeka kwa maneno. Hakuna maneno ya kuweza kuelezea kiwango cha chuki yake bali mtu anaweza tu kupata picha kwa kutazama matendo yake na kuyadadavua...
Jukwaa hili siyo mahali pa kuchambua makosa ya awamu ya tano. Isitoshe, kama mtu mzima, raia wa nchi hii mwenye macho, masikio na akili timamu mpaka sasa hajaona makosa ya kipindi hicho basi hata akitajiwa na kuelezwa hatakubali. Kibinadamu hali hii ipo na ndiyo maana mataifa hujiwekea katiba, sheria, kanuni na miongozo mingine ya kusimika ustaarabu.Taja makosa yake ili tujue tunaanzia wapi. Achana na tuhuma maana zinaweza kuwa kweli au si za kweli.
Elezea MAKOSA YA DHAHIRI (ya kweli) aliyoyafanya
Mbona unaandika maelezo marefu lakini unadhindwa kutaja makosa umeambiwa orodhesha makosa? Ilo ndio swaliJukwaa hili siyo mahali pa kuchambua makosa ya awamu ya tano. Isitoshe, kama mtu mzima, raia wa nchi hii mwenye macho, masikio na akili timamu mpaka sasa hajaona makosa ya kipindi hicho basi hata akitajiwa na kuelezwa hatakubali. Kibinadamu hali hii ipo na ndiyo maana mataifa hujiwekea katiba, sheria, kanuni na miongozo mingine ya kusimika ustaarabu.
Mtu wa aina hiyo hafai kuwa kiongozi wa kisiasa bali wa familia tu! Ofisi ya umma haihitaji mtu wa aina hii: mwamba asiyekubali kupandwa kichwani!Hayati JPM, alikuwa ni mwanaume halisi asiyeruhusu watu wampande kichwani. He was a really man.
Wakikuelewa itapeza sanaMtu wa aina hiyo hafai kuwa kiongozi wa kisiasa bali wa familia tu! Ofisi ya umma haihitaji mtu wa aina hii: mwamba asiyekubali kupandwa kichwani! Badala yake inahitaji...
magufuli alikuwa mpumbavu sana ikitokea akafufuka nitammaliza mimi nilivyo na hasira nae mjinga huyo.
Basi dunia inayowachukia marehemu Adolf Hitler, Emperor Bokassa, Mussolini, Idd Amin Dada, Mobutu, Pol Pot, John Vosta, Magufuli na wengine wote wanao-fit kwenye categories za kimatendo similar to those mentioned it means wote ni washirikina kwani wote hao wameshaenda zao kuzimu.Washirikina Huwa wapo hivyo.
Wanakua na chuki na marehemu.
Unakuta mtu anacommet kwa hasira kama anapigana na simu yake,kumbe anamfokea Marehemu.Kweli huu ni uchizi.Naona kuwa na chuki iliyopitiliza kwa marehemu ni sawa na aina fulani ya uchizi tu.
Huko ni kujitafutia stress zisizo za lazima mwishowe unakufa mapema kizembe tu.