Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
Mimi napenda tu kuwashauri hawa mafundi wenzangu waliopo SIDO na karakana nyingi katika nchi yetu!
Kama kuna mamlaka za kuwasaidia kuwaelemisha basi waelimishwe katika eneo la biashara!
Bei zao nyingi katika uhunzi wa vipuri siyo rafiki kabisa kwa mtanzania ukilinganisha na bidhaa ileile ukiiagiza kutoka kiwandani inje ya nchi.
Hata ukiamua kununua material mwenyewe unagundua kabisa kuna unafuu ukilinganisha na wao.
Kichaka wanachotumia kujifichia ni raw material's lakini ukitazama kwa kina wakati mwingine si kweli! Maana hata fanicha za mbao za kutoka misitu ya hapahapa kwetu ukitaka mlango, kitanda au kabati unaweza kushangaa sana ukubwa wa bei unadababishwa na nini.
Milango ya bati ya kichina ilipotambulishwa hapa nchini na wachina waliuza bei rafiki!
Lakini milango ilele ukiomba wakuundie SIDO wanakupa gharama kubwa sana kupita kiasi!
Ukiagiza mashine ya kuunda chaki kutoka china unaweza kuipata kwa bei rahisi tu chini ya 5mil, lakini mashine hiyohiyo wakikutengenezea hapo SIDO watakuuzia mara mbili ya bei ya china!
Ukiagiza kinu cha mashine kutoka inje unakipata kwa bei poa, lakini ukiwapa tenda SIDO wanakutajia bei kubwa mpaka unashangaa nini shida!
Mimi kama Fundi umeme kwenye idara yangu sichaji bei kubwa sana ni kidogo lakini mzunguko wa bei ndogo unaleta faida nyingi!
Naomba mamlaka ziwapatie elimu hawa ndugu zangu wahunzi! Wasilazimishe matatizo yao yote yatatuliwe kwa faida ya kazi moja! Bidhaa zao nyingi ni local made kwanini wanachaji bei za ajabu?
Wachina wanajazana mjini sahivi mwisho wa siku hizi karakana za SIDO ZITAKUFA kwa ujinga bei kubwa!
Tuwashauri hawa vijana wenzetu tamaa za faida kubwa huua kipaji!